Free Sabaya

Unajua justice for Sabaya ni Jela??
 
Reactions: MTK
Acha kusikia uchungu. Nenda labour kabisa uka jifungue. Kwanini hamkumuonya mapema?
 
Let Sabaya die and rot in jail!
 
Funga sabaya
 
Sawa kabisaaaah!
 
Hiyo jamaa ameteseka sana jamani wahusika wamuachilie tu,mama tunakuomba mwangalie huyo kijana mwenzetu,kuna watu wenye hila na visasi kwaajili ya magendo na ukwepaji kodi wao kijana aliwadhibiti leo anaambulia gereza.
 
Mwambieni ndugu yenu Al badir ndio matokeo yake hayo dhulma wala haijawahi kumwacha mtu salama
 
Acha upumbavu wew, hujui chochote kuhusu wilaya ya Hai.. jamaa kawakatili raia kama wana hai hawakuwa watanzania.. anastahili kifo, kifungo hakimtoshi
 
Acha upumbavu wew, hujui chochote kuhusu wilaya ya Hai.. jamaa kawakatili raia kama wana hai hawakuwa watanzania.. anastahili kifo, kifungo hakimtoshi
Kama gaidi mwenye tuhuma nzito ametoka..Huyu mzalendo pia atatoka...na unaweza kuja pia kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro
 
Unajichekesha kama chizi
 
Hata hivyo, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu, John Aweyo na Nathan Msuya wataendelea kubaki Mahabusu kutokana na Kesi nyingine ya Uhujumu Uchumi waliyonayo Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi
 
Hata hivyo, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu, John Aweyo na Nathan Msuya wataendelea kubaki Mahabusu kutokana na Kesi nyingine ya Uhujumu Uchumi waliyonayo Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi
Free Sabaya
 
Huyo alitoa siri ya waliomtoa so hawezi toka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…