SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mwacheni mwenzenu afaidi ndoa yake huko jela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua justice for Sabaya ni Jela??Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka. Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.
Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.
Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.
#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Acha kusikia uchungu. Nenda labour kabisa uka jifungue. Kwanini hamkumuonya mapema?Binafsi kama mwanaccm hichi kitendo anachofanyiwa Sabaya kinaniuma sana na nikitendo cha udhalilishaji kwa vijana wanaopigania chama kwa kujitoa muhanga.
Sabaya katika uongozi wake amekuta wilaya ya Hai inawakwepa kodi kibao, kiasi kwamba wilaya ile ilikuwa karibia ya 200 katika swala la ukusanyaji kodi ila mzalendo amepambana mpaka hiyo wilaya imekuwa namba 4 kitaifa.
Swali la kujiuliza kama alikuwa jambazi na mla rushwa basi angepokea(rushwa) hongo kwa wale wakwepa kodi na Hai ingendelea kuzorota katika swala la ukusanyaji wa kodi. Uwongo watuhuma hizi tunaanza kureasons hapa?
Sabaya amekuta wilaya ya Hai ikiwa chini ya ngome ya upinzani yaani chadema. Ila amepambana mpaka wilaya yote ya Hai ikarudi CCM. Hii ni ishara ya kuwa mwanachama mzalendo wa chama chake angekuwa yupo kimaslahi angepokea virushwa vya hao wapinzani.
Utawala huu umeingia kama haitambui juhudi na jitahada Sabaya aliyofanyia taifa lake na chama chake. Watesi wake nikimaanisha wale wakwepa kodi na wapinzani wake wamepewa fimbo ya kumhadhibiti huyu mzalendo wa nchi, pia watesi wake wanaonekani kumzidi mtu fulani uwezo wa kupambanua mambo.
Kitendo anachofanyiwa huyu mwanaCCM mwenzetu ni ishara ya udhaifu kwa utawala wa CCM uliopo na viongozi waliotokana na CCM. Hili swala sio lakunyamazia hata kidogo.
Naamini ipo siku atatokea mtawala ndani ya CCM mzalendo na ataweza kutambua viongozi wazalendo wanaopigania nchi.
Sabaya hana kosa hata mahakama kuu imedhibitisha hilo, kuna uhuni nyuma yake na siasa chafu na visasi vya kishetani.. Na kama anafanyiwa hivyo kwa lengo la kuwaadhibu viongozi wakatili na wachafu basi tungeona utitiri wa viongozi wakigikishwa mahakamani ila wapo mtaani wanakula bata....
Nashangaa awamu hii wapinzani wanauwezo wa kuishawishi utawala ukavuma upande wao kwa maslahi yao na sio kwa maslahi ya taifa.
Leo mtu amekutwa na tuhuma za kujibu dhidi ya ugaidi yupo huru, kisa wapinzani wameweza kushawishi utawala na utawala ukalegeza msimamo.
CCM tuache chuki binafsi dhidi ya wenzetu tuungane na tuache kuwadhalilisha wenzetu. Kama mwenzetu amekosa kuna kamati ya maadili afikishwe huko apewe maonyo na adhabu.
Let Sabaya die and rot in jail!Binafsi kama mwanaccm hichi kitendo anachofanyiwa Sabaya kinaniuma sana na nikitendo cha udhalilishaji kwa vijana wanaopigania chama kwa kujitoa muhanga.
Sabaya katika uongozi wake amekuta wilaya ya Hai inawakwepa kodi kibao, kiasi kwamba wilaya ile ilikuwa karibia ya 200 katika swala la ukusanyaji kodi ila mzalendo amepambana mpaka hiyo wilaya imekuwa namba 4 kitaifa.
Swali la kujiuliza kama alikuwa jambazi na mla rushwa basi angepokea(rushwa) hongo kwa wale wakwepa kodi na Hai ingendelea kuzorota katika swala la ukusanyaji wa kodi. Uwongo watuhuma hizi tunaanza kureasons hapa?
Sabaya amekuta wilaya ya Hai ikiwa chini ya ngome ya upinzani yaani chadema. Ila amepambana mpaka wilaya yote ya Hai ikarudi CCM. Hii ni ishara ya kuwa mwanachama mzalendo wa chama chake angekuwa yupo kimaslahi angepokea virushwa vya hao wapinzani.
Utawala huu umeingia kama haitambui juhudi na jitahada Sabaya aliyofanyia taifa lake na chama chake. Watesi wake nikimaanisha wale wakwepa kodi na wapinzani wake wamepewa fimbo ya kumhadhibiti huyu mzalendo wa nchi, pia watesi wake wanaonekani kumzidi mtu fulani uwezo wa kupambanua mambo.
Kitendo anachofanyiwa huyu mwanaCCM mwenzetu ni ishara ya udhaifu kwa utawala wa CCM uliopo na viongozi waliotokana na CCM. Hili swala sio lakunyamazia hata kidogo.
Naamini ipo siku atatokea mtawala ndani ya CCM mzalendo na ataweza kutambua viongozi wazalendo wanaopigania nchi.
Sabaya hana kosa hata mahakama kuu imedhibitisha hilo, kuna uhuni nyuma yake na siasa chafu na visasi vya kishetani.. Na kama anafanyiwa hivyo kwa lengo la kuwaadhibu viongozi wakatili na wachafu basi tungeona utitiri wa viongozi wakigikishwa mahakamani ila wapo mtaani wanakula bata....
Nashangaa awamu hii wapinzani wanauwezo wa kuishawishi utawala ukavuma upande wao kwa maslahi yao na sio kwa maslahi ya taifa.
Leo mtu amekutwa na tuhuma za kujibu dhidi ya ugaidi yupo huru, kisa wapinzani wameweza kushawishi utawala na utawala ukalegeza msimamo.
CCM tuache chuki binafsi dhidi ya wenzetu tuungane na tuache kuwadhalilisha wenzetu. Kama mwenzetu amekosa kuna kamati ya maadili afikishwe huko apewe maonyo na adha
Funga sabayaBinafsi kama mwanaccm hichi kitendo anachofanyiwa Sabaya kinaniuma sana na nikitendo cha udhalilishaji kwa vijana wanaopigania chama kwa kujitoa muhanga.
Sabaya katika uongozi wake amekuta wilaya ya Hai inawakwepa kodi kibao, kiasi kwamba wilaya ile ilikuwa karibia ya 200 katika swala la ukusanyaji kodi ila mzalendo amepambana mpaka hiyo wilaya imekuwa namba 4 kitaifa.
Swali la kujiuliza kama alikuwa jambazi na mla rushwa basi angepokea(rushwa) hongo kwa wale wakwepa kodi na Hai ingendelea kuzorota katika swala la ukusanyaji wa kodi. Uwongo watuhuma hizi tunaanza kureasons hapa?
Sabaya amekuta wilaya ya Hai ikiwa chini ya ngome ya upinzani yaani chadema. Ila amepambana mpaka wilaya yote ya Hai ikarudi CCM. Hii ni ishara ya kuwa mwanachama mzalendo wa chama chake angekuwa yupo kimaslahi angepokea virushwa vya hao wapinzani.
Utawala huu umeingia kama haitambui juhudi na jitahada Sabaya aliyofanyia taifa lake na chama chake. Watesi wake nikimaanisha wale wakwepa kodi na wapinzani wake wamepewa fimbo ya kumhadhibiti huyu mzalendo wa nchi, pia watesi wake wanaonekani kumzidi mtu fulani uwezo wa kupambanua mambo.
Kitendo anachofanyiwa huyu mwanaCCM mwenzetu ni ishara ya udhaifu kwa utawala wa CCM uliopo na viongozi waliotokana na CCM. Hili swala sio lakunyamazia hata kidogo.
Naamini ipo siku atatokea mtawala ndani ya CCM mzalendo na ataweza kutambua viongozi wazalendo wanaopigania nchi.
Sabaya hana kosa hata mahakama kuu imedhibitisha hilo, kuna uhuni nyuma yake na siasa chafu na visasi vya kishetani.. Na kama anafanyiwa hivyo kwa lengo la kuwaadhibu viongozi wakatili na wachafu basi tungeona utitiri wa viongozi wakigikishwa mahakamani ila wapo mtaani wanakula bata....
Nashangaa awamu hii wapinzani wanauwezo wa kuishawishi utawala ukavuma upande wao kwa maslahi yao na sio kwa maslahi ya taifa.
Leo mtu amekutwa na tuhuma za kujibu dhidi ya ugaidi yupo huru, kisa wapinzani wameweza kushawishi utawala na utawala ukalegeza msimamo.
CCM tuache chuki binafsi dhidi ya wenzetu tuungane na tuache kuwadhalilisha wenzetu. Kama mwenzetu amekosa kuna kamati ya maadili afikishwe huko apewe maonyo na adhabu.
Pia maandalizi ya wote waliofanya yafananayo na ya Sabaya🏋️Let Sabaya die and rot in jail!
Sawa kabisaaaah!Mimi ni mwanaccm pia.
Chama Cha Mapinduzi kinatakiwa kuongoza kwa mfano wa kufuata sheria, utu na uadilifu wa hali ya juu.
Kupigania chama kwa kufanya uhalifu dhidi ya raia wenye itiikadi tofauti ni kinyume na katiba ya chama na ya nchi pia (binadamu wote ni sawa na Africa ni moja) ni maneno muhimu yenye kuhusisha CCM.
Ni lazima turudi kwenye misingi ya uasisi wa chama na taifa kwa ujumla.
Kesi za jinai hupelekwa mahakamani na siyo kwenye kamati za maadili.
Ni makosa chama kutetea au kuhushwa na uhalifu.
You will die before himLet Sabaya die and rot in jail!
Gaidi mbowe mbona mahakama imeingiliwa na sabaya itakuwa hivohivo mtake mlie msitakeAcha Mahakama ifanye kazi yake.
Acha upumbavu wew, hujui chochote kuhusu wilaya ya Hai.. jamaa kawakatili raia kama wana hai hawakuwa watanzania.. anastahili kifo, kifungo hakimtoshiBinafsi kama mwanaccm hichi kitendo anachofanyiwa Sabaya kinaniuma sana na nikitendo cha udhalilishaji kwa vijana wanaopigania chama kwa kujitoa muhanga.
Sabaya katika uongozi wake amekuta wilaya ya Hai inawakwepa kodi kibao, kiasi kwamba wilaya ile ilikuwa karibia ya 200 katika swala la ukusanyaji kodi ila mzalendo amepambana mpaka hiyo wilaya imekuwa namba 4 kitaifa.
Swali la kujiuliza kama alikuwa jambazi na mla rushwa basi angepokea(rushwa) hongo kwa wale wakwepa kodi na Hai ingendelea kuzorota katika swala la ukusanyaji wa kodi. Uwongo watuhuma hizi tunaanza kureasons hapa?
Sabaya amekuta wilaya ya Hai ikiwa chini ya ngome ya upinzani yaani chadema. Ila amepambana mpaka wilaya yote ya Hai ikarudi CCM. Hii ni ishara ya kuwa mwanachama mzalendo wa chama chake angekuwa yupo kimaslahi angepokea virushwa vya hao wapinzani.
Utawala huu umeingia kama haitambui juhudi na jitahada Sabaya aliyofanyia taifa lake na chama chake. Watesi wake nikimaanisha wale wakwepa kodi na wapinzani wake wamepewa fimbo ya kumhadhibiti huyu mzalendo wa nchi, pia watesi wake wanaonekani kumzidi mtu fulani uwezo wa kupambanua mambo.
Kitendo anachofanyiwa huyu mwanaCCM mwenzetu ni ishara ya udhaifu kwa utawala wa CCM uliopo na viongozi waliotokana na CCM. Hili swala sio lakunyamazia hata kidogo.
Naamini ipo siku atatokea mtawala ndani ya CCM mzalendo na ataweza kutambua viongozi wazalendo wanaopigania nchi.
Sabaya hana kosa hata mahakama kuu imedhibitisha hilo, kuna uhuni nyuma yake na siasa chafu na visasi vya kishetani.. Na kama anafanyiwa hivyo kwa lengo la kuwaadhibu viongozi wakatili na wachafu basi tungeona utitiri wa viongozi wakigikishwa mahakamani ila wapo mtaani wanakula bata....
Nashangaa awamu hii wapinzani wanauwezo wa kuishawishi utawala ukavuma upande wao kwa maslahi yao na sio kwa maslahi ya taifa.
Leo mtu amekutwa na tuhuma za kujibu dhidi ya ugaidi yupo huru, kisa wapinzani wameweza kushawishi utawala na utawala ukalegeza msimamo.
CCM tuache chuki binafsi dhidi ya wenzetu tuungane na tuache kuwadhalilisha wenzetu. Kama mwenzetu amekosa kuna kamati ya maadili afikishwe huko apewe maonyo na adhabu.
Kama gaidi mwenye tuhuma nzito ametoka..Huyu mzalendo pia atatoka...na unaweza kuja pia kuwa mkuu wa mkoa wa KilimanjaroAcha upumbavu wew, hujui chochote kuhusu wilaya ya Hai.. jamaa kawakatili raia kama wana hai hawakuwa watanzania.. anastahili kifo, kifungo hakimtoshi
Unajichekesha kama chiziHuu mnundu masela wa Jela wamemtwanga konzi moja matata sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa kama kisogoni kuna mnundu hivyo,huko mkunduni kutakuwaje kama sio shimo tu maana masela wamenyofoa bikra yote mamamae[emoji1787][emoji1787][emoji1787]na keshokutwa tarehe 10 Hukumu yake lazima agongwe miaka 30 Jela Jambazi huyu mamamamaee [emoji1787][emoji1787]
Free SabayaHata hivyo, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu, John Aweyo na Nathan Msuya wataendelea kubaki Mahabusu kutokana na Kesi nyingine ya Uhujumu Uchumi waliyonayo Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi
On social mediaFree Sabaya
Umeona eeh. Mleta mada sijui shule alienda kufanya nini!Acha Mahakama ifanye kazi yake.