Free Sabaya

Free Sabaya

Binafsi kama mwanaccm hichi kitendo anachofanyiwa Sabaya kinaniuma sana na nikitendo cha udhalilishaji kwa vijana wanaopigania chama kwa kujitoa muhanga.

Sabaya katika uongozi wake amekuta wilaya ya Hai inawakwepa kodi kibao, kiasi kwamba wilaya ile ilikuwa karibia ya 200 katika swala la ukusanyaji kodi ila mzalendo amepambana mpaka hiyo wilaya imekuwa namba 4 kitaifa.

Swali la kujiuliza kama alikuwa jambazi na mla rushwa basi angepokea(rushwa) hongo kwa wale wakwepa kodi na Hai ingendelea kuzorota katika swala la ukusanyaji wa kodi. Uwongo watuhuma hizi tunaanza kureasons hapa?

Sabaya amekuta wilaya ya Hai ikiwa chini ya ngome ya upinzani yaani chadema. Ila amepambana mpaka wilaya yote ya Hai ikarudi CCM. Hii ni ishara ya kuwa mwanachama mzalendo wa chama chake angekuwa yupo kimaslahi angepokea virushwa vya hao wapinzani.

Utawala huu umeingia kama haitambui juhudi na jitahada Sabaya aliyofanyia taifa lake na chama chake. Watesi wake nikimaanisha wale wakwepa kodi na wapinzani wake wamepewa fimbo ya kumhadhibiti huyu mzalendo wa nchi, pia watesi wake wanaonekani kumzidi mtu fulani uwezo wa kupambanua mambo.

Kitendo anachofanyiwa huyu mwanaCCM mwenzetu ni ishara ya udhaifu kwa utawala wa CCM uliopo na viongozi waliotokana na CCM. Hili swala sio lakunyamazia hata kidogo.

Naamini ipo siku atatokea mtawala ndani ya CCM mzalendo na ataweza kutambua viongozi wazalendo wanaopigania nchi.

Sabaya hana kosa hata mahakama kuu imedhibitisha hilo, kuna uhuni nyuma yake na siasa chafu na visasi vya kishetani.. Na kama anafanyiwa hivyo kwa lengo la kuwaadhibu viongozi wakatili na wachafu basi tungeona utitiri wa viongozi wakigikishwa mahakamani ila wapo mtaani wanakula bata....

Nashangaa awamu hii wapinzani wanauwezo wa kuishawishi utawala ukavuma upande wao kwa maslahi yao na sio kwa maslahi ya taifa.

Leo mtu amekutwa na tuhuma za kujibu dhidi ya ugaidi yupo huru, kisa wapinzani wameweza kushawishi utawala na utawala ukalegeza msimamo.

CCM tuache chuki binafsi dhidi ya wenzetu tuungane na tuache kuwadhalilisha wenzetu. Kama mwenzetu amekosa kuna kamati ya maadili afikishwe huko apewe maonyo na adhabu.
Mtoa mada kama una hoja za kumtetea Sabaya peleka Mahakamani. Otherwise na wewe ni MPUMBAVU kama Sabaya.

Unayemtetea ni MPUMBAVU ambaye pamoja na kujua kuwa Afya ya Magufuli ni kama gari ya mkaa lakini akajidanganya kufanya maovu ya kupora fedha, kubaka wanawake, kukata mapanga watu na kutapeli kwa kisingizio cha kufuta upinzani wilaya ya Hai. Kwani nani alimuambia kuwa na UPINZANI wilayani ni JINAI?
 
Mtoa mada kama una hoja za kumtetea Sabaya peleka Mahakamani. Otherwise na wewe ni MPUMBAVU kama Sabaya.

Unayemtetea ni MPUMBAVU ambaye pamoja na kujua kuwa Afya ya Magufuli ni kama gari ya mkaa lakini akajidanganya kufanya maovu ya kupora fedha, kubaka wanawake, kukata mapanga watu na kutapeli kwa kisingizio cha kufuta upinzani wilaya ya Hai. Kwani nani alimuambia kuwa na UPINZANI wilayani ni JINAI?
Safi sana. Hakuna jambo jema kama mtu MPUMBAVU kumuambia point blank kuwa wewe ni MPUMBAVU maana ndio njia sahihi ya kumtoa kwenye upumbavu.
Sasa ni wakati Stuxnet na wengine tufanye mapinduzi ya kutokomeza upumbavu kwa kuwapa za uso wapumbavu hadi wajitambue
 
Huo uvimbe wamfanyie upasuaji lakini wammalizie kwenye dawa za usingizi asirudi. Amfuate laana mwenzie magufuri huko motoni kuzimu.

Huyo ni kuzidisha dawa tu haliamki tena manina
 
Ndo maana alimlilia kwa jicho moja.
1660486053685.png
 
Back
Top Bottom