Tetesi: Freeman Aikael Mbowe kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima (PhD)

Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini Marekani mwezi February 2024.

Kama ni kweli tumuombee.

Tumpate Dr. Freeman Aikael Mbowe!!
Unamuombea ili aipate hiyo degree au ?
 
Tunashukuru mkuu kwa kutugumbua macho sisi vipofu wa Lumumba
 
Apewe tu kwani wengine walizo nazo hazitusaidii kitu!
Naona siku hizi akili imeanza kujurudia baada ya kuwa lindoni kwa takriban mwaka lkn malipo yako Bado unazinguliwa na uvccm
 
Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini Marekani mwezi February 2024.

Kama ni kweli tumuombee.

Tumpate Dr. Freeman Aikael Mbowe!!
Tangu lini chadema nao kutambua hivyo viphd kama hivyo??
 
Naona siku hizi akili imeanza kujurudia baada ya kuwa lindoni kwa takriban mwaka lkn malipo yako Bado unazinguliwa na uvccm
Tangu lini na nyie mumeanza kutambua hizo digiriiii ambazo mtu hajaingia darasanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…