Tetesi: Freeman Aikael Mbowe kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima (PhD)

Tetesi: Freeman Aikael Mbowe kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima (PhD)

Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini Marekani mwezi February 2024.

Kama ni kweli tumuombee.

Tumpate Dr. Freeman Aikael Mbowe!!
Unamuombea ili aipate hiyo degree au ?
 
Mbowe kusoma PPE( political, Philosophy and Economics)

Mbowe kasoma University of Cumbria MBA in Leadership and sustainability

Na sasa hivi Anasoma International Relation Yuko mwakawa Pili Open University

Kwahyo sioni Tatizo akipewa Hiyo Honorarity
Tunashukuru mkuu kwa kutugumbua macho sisi vipofu wa Lumumba
 
Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini Marekani mwezi February 2024.

Kama ni kweli tumuombee.

Tumpate Dr. Freeman Aikael Mbowe!!
Tangu lini chadema nao kutambua hivyo viphd kama hivyo??
 
Naona siku hizi akili imeanza kujurudia baada ya kuwa lindoni kwa takriban mwaka lkn malipo yako Bado unazinguliwa na uvccm
Tangu lini na nyie mumeanza kutambua hizo digiriiii ambazo mtu hajaingia darasanii
 
Macho kumchuzi,mkono kuubwabwa huwa wanatunukiwa phd!!
Nakuona mzee wa kujilipua ukiwa njiani kwenda kinondoni makaburini.
1506416146.jpg
 
Back
Top Bottom