Freeman Mbowe aanza Majukumu ya Kimataifa

Tanzania tutajuta kutotumia kipaji ya kiuongozi cha huyu Mwamba , wengine wamekiona wacha wakitumie, sisi wacha tuendelee kuparurana machoni kwa umeme, maji, tozo na ajali ya ndege, njaa kali unga 3,000 mchele 3500

Mwamba, timiza majukumu yako kimataifa, Dunia ishakutambua juhudi zako za kudai demokrasia ya kweli nje na ndani ya nchi.
 
Hii ni Taarifa tunayoipeleka kwa Umma wa Watanzania na nchi Jirani , kwamba yule Mwenyekiti mpya wa DUA , ambaye pia ni mwamba wa siasa za kisasa na nguzo ya amani Nchini Tanzania , Freeman Mbowe , Tayari amekwishaanza Majukumu yake mapya .

View attachment 2413237View attachment 2413238View attachment 2413239

Freeman Mbowe , anayejulikana pia kama Mtemi Isike , Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar , kwa sasa anatajwa kwamba ndiye Mtanzania anayeheshimiwa zaidi na Jumuiya ya Kimataifa .

Hebu tumia muda wako kidogo ili kumtakia heri na fanaka .
Hili ni pigo kwa mapunga ya ccm na wafuas wao.
 
Go Goo Gooo.
 
Hivi ni kweli alipata ZERO 4m6??

#MaendeleoHayanaChama
 
Huyo nyuma ya Mbowe ni Munishi? Huwa ana siasa za Kistaarabu sana naona ameiva kwenye kitengo Cha international Relations. Natamani siku afikiriwe kwenye post kubwa zaidi kwenye chama ana siasa za kiungwana sana kama alivyokua Silinde kabla hajaasi.
 
Ngoja tulifikishe ngazi za juu
 
Mule mule, mkishika dola hamtakuwa tofauti na Mataga a.k.a praise team! Tofauti iliyopo sasa ni wao kuwa na dola na nyie kuwa wapinzani otherwise ni copy and paste.
 
Tofauti nyingine uliyoisahau ni hii , SISI TUNAILIPA CHADEMA HELA , Mataga wanalipwa , bando wanawekewa na kuna tetesi kwamba vile vishikwambi vya sensa wamegawiwa
 
Back
Top Bottom