Freeman Mbowe afika Kibaha kuhani msiba wa Baba mzazi wa Nabii Josephat Mwingira

Freeman Mbowe afika Kibaha kuhani msiba wa Baba mzazi wa Nabii Josephat Mwingira

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Subpost 1 - Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe_ - Freeman_Mbowe akiongozana na Katib ( 640 X 640 ).jpg

Subpost 2 - Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe_ - Freeman_Mbowe akiongozana na Katib ( 640 X 640 ).jpg


Uungwana ni vitendo
 
Safii linapofika jambo la huzuni watu huweka siasa zao kando lakini wewe mleta uzi umeleta hii taarifa kwa mrengo wako na kutaka kulifanya hili tukio liwe ni mjadala!
 
Safii linapofika jambo la huzuni watu huweka siasa zao kando lakini wewe mleta uzi umeleta hii taarifa kwa mrengo wako na kutaka kulifanya hili tukio liwe ni mjadala!
Lengo letu kila mara ni kutoa taarifa tu ili jf iwe ya kwanza , hayo mengine unayonibandika kichwani siyajui .
 
Naona mitume na manabii wanatoka kila kona ya dunia kuja kumfariji mwenzao
Kama kuna mtu hapo msibani akipata bahati ya kuwaona na maraika
Asisite kututumia kapicha
Manabii uwa marafiki zao sana ni maraika!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uungwana gani hapo? Mwingira ni kiongozi wa dini siyo mwanasiasa, Tulia naye alikuwepo huyu katokea Kyela kwenye matanga ya msiba, yaani anajitahidi sana kuzika.
Tulia si kuzika tu hata majeneza anatembea nayo
 
Pole kwa wafiwa,ila chadema protokali bado
Kwa nini wamempeleka Mwentekiti na katibu kuhani msiba kwa wakati mmoja?
 
Pole kwa wafiwa,ila chadema protokali bado
Kwa nini wamempeleka Mwentekiti na katibu kuhani msiba kwa wakati mmoja?
Kinachohani kwenye msiba si chama ni mtu binafsi, kumbe nyie huwa hamuendi kwa kuwa tayari wapo wanachama!
 
Back
Top Bottom