Nadhani hujanielewaKinachohani kwenye msiba si chama ni mtu binafsi, kumbe nyie huwa hamuendi kwa kuwa tayari wapo wanachama!
Tatizo sio kuenda,tatizo ni kupeleka viongozi wawili wakubwa kwa mpigo.Ingekua ni siku ya kuzika sawa
Juma Duni aliwahi kusema chadema kila mtu ni kambare