Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa ikufikie Popote Ulipo kwamba , Mwamba wa siasa za Africa , Freeman Mbowe ameingia Ngorongoro kwa kishindo na kuhutubia Maelfu ya Wananchi
Akihutubia Umati mkubwa wa Wananchi, Mbowe amedai kwamba Chadema iko Tayari kuhakikisha kwamba Haki za Jamii ya kimasai zinalindwa kwa gharama yoyote ile na kwamba ardhi yao itabaki kuwa yao hata iweje .
Huku akishangiliwa kwa nguvu amesema kwamba suala la kuwaswaga Wamasai kama mifugo litapingwa kwa nguvu zote
Kwa vile maneno matupu hayavunji mfupa basi jionee mwenyewe
Kuna kila dalili za Nchi hii kukombolewa haraka sana.