Freeman Mbowe aingia Ngorongoro na kupokelewa Kishujaa

Taarifa ikufikie Popote Ulipo kwamba , Mwamba wa siasa za Africa , Freeman Mbowe ameingia Ngorongoro kwa kishindo na kuhutubia Maelfu ya Wananchi

Akihutubia Umati mkubwa wa Wananchi, Mbowe amedai kwamba Chadema iko Tayari kuhakikisha kwamba Haki za Jamii ya kimasai zinalindwa kwa gharama yoyote ile na kwamba ardhi yao itabaki kuwa yao hata iweje .

Huku akishangiliwa kwa nguvu amesema kwamba suala la kuwaswaga Wamasai kama mifugo litapingwa kwa nguvu zote

Kwa vile maneno matupu hayavunji mfupa basi jionee mwenyewe

View attachment 3024048View attachment 3024049View attachment 3024050View attachment 3024051View attachment 3024052

Kuna kila dalili za Nchi hii kukombolewa haraka sana.
Hiyo ndyo sera tunazo itaji syo unakuta sehemu nynge mama mama tunaitaji sera yenye nguvu kama inz haki ya mwana nch kweny taifa lake chadema ndyo chama cha kuwaskiliza wananch syo uko kila sku ugaibun ❤️ Democrasia
 
wangeacha dhambi za kuharibu ndoa za watu na kuwapa viti maalum wangetoboa!
 
Hiyo ndyo sera tunazo itaji syo unakuta sehemu nynge mama mama tunaitaji sera yenye nguvu kama inz haki ya mwana nch kweny taifa lake chadema ndyo chama cha kuwaskiliza wananch syo uko kila sku ugaibun ❤️ Democrasia
Hakika
 
Taarifa ikufikie Popote Ulipo kwamba , Mwamba wa siasa za Africa , Freeman Mbowe ameingia Ngorongoro kwa kishindo na kuhutubia Maelfu ya Wananchi

Akihutubia Umati mkubwa wa Wananchi, Mbowe amedai kwamba Chadema iko Tayari kuhakikisha kwamba Haki za Jamii ya kimasai zinalindwa kwa gharama yoyote ile na kwamba ardhi yao itabaki kuwa yao hata iweje .

Huku akishangiliwa kwa nguvu amesema kwamba suala la kuwaswaga Wamasai kama mifugo litapingwa kwa nguvu zote

Kwa vile maneno matupu hayavunji mfupa basi jionee mwenyewe

View attachment 3024048View attachment 3024049View attachment 3024050View attachment 3024051View attachment 3024052

Kuna kila dalili za Nchi hii kukombolewa haraka sana.
Huyu Mbowe anafanya anachopinga. Demokrasi hakuna pale CDM. Hana tofauti na CCM ambayo I haitaki katiba mpya.

Watanzania tunahitaji vyama vipya vya kuisadia nchi hii. CCM na CDM watachuliwa na mafuriko ya ideology na philosophy za dunia hii. Wait and see.
 
Umechelewa kizembe sana!
 
Mama Yoyoo akishangilia Spana kwa hisia kali

Screenshot_2024-06-23-19-48-17-1.png
 
Back
Top Bottom