Freeman Mbowe aingia Ngorongoro na kupokelewa Kishujaa

Hamna kitu kama hiko,Ina maana Chadema kinafanya shughuli zake bila vikao vya kamati kuu?
 
..Ole Sendeka alipita huko majuzi na alipokelewa kishujaa.
Ole Sendeka ni CCM maslahi tu.

Lakini kwa kinachoendelea Ngorongoro na umasaini kwa ujumla wake, for sure kabisa hata wabunge wa CCM wote hawakubaliani nacho!

Huko kuna vita ya kimaslahi zaidi na nakuhakikishia wazi kuwa, hakuna mwana CCM huru anayeunga mkono unyang'anyi wa ardhi wa Ngorongoro, Loliondo na maeneo yote ya umasaini.

Laiti kama CHADEMA wataitumia vyema weakness point hii, wanaweza kuiua na kuifuta kabisa CCM huko bila kujali nguvu ya kifedha waliyonayo kwa kuwatumia hao wakoloni wa kiaraabu wanaoshirikiana nao kupora rasrimali ardhi na mali iliyomo ktk ardhi hiyo!
 
Walionirushia Risasi hawakutumwa na serikali ya Samia- Sendeka
 
Wataishia kupokelewa kishujaa lakini siku ya kura wanapata 10 out of milion 40
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…