Freeman Mbowe ajilaumu kwa yanayomkuta - Absalom Kibanda


..maridhiano kati ya serikali, Act, na vyama vingine vya siasa, nayo hayajafanikiwa. Serikali na Ccm imepuuza mapendekezo ya Tume ya Prof.Mukandala. Je, hilo nalo unamlaumu Tundu Lissu?
 
Huyu Kibanda akija clubhouse anaongea tofauti kabisa na aliyoyaandika. Yaani anazungumza kulingana na comfort zone aliyopo.
 
Sio uhaini bali ni shituko la Mbowe na wafuasi wake,maana walizoea Mbowe kushindana na watu wasio na nguvu kama yeye kipindi cha nyuma,sasa kaja mtu sahihi kama yeye.
Sio kama yeye kaja mtu sahihi kushinda yeye.
 

Kumbe kajitoa kwenye maridhiano kwa sababu ya kit na Lissu?

Si arudi tu si yuko na kina sugu, boni yai, yericko, wenje, ntobi, mnm, na wenzao? Au?
 
Huyu jamaa katiwa chongo kwa sababu ya kula rushwa za CCM lakini bado hajakoma. Mpumbavu kabisa huyu Kibanda.
 
IWapo kweli ni zao la ubunifu wake bilashaka analiamini,ikiwa haliamini ubunifu,ama kazi yake ilikuwa ya mashaka.
 
Tifu ni la Mbowe kula rushwa kutoka kwa Abdul ili aidhoofishe Chadema. Jamaa anapenda fedha sana huyu.
 
Mbowe must go
 
Umenena vema sana
 
Reactions: Tui
Asante sana Kiranja wa Jamii umeandika vema sana.Kwa heshima ya huu mchango wako nitauweka pale juu chini ya Andishi la Absalom Kibanda
 
Reactions: Tui
You nailed it.Kudos.
 
Unalinganisha scenario mbili tofauti.CCM wana utaratibu wao kwamba anayegombea mara ya pili fomu inakuwa moja tu.Ndio maana 2030 kutakuwa na fomu zaidi ya moja kwa sababu hamna incumbent.Hakuna cha open chance.
Utaratibu wa Chadema ni kila mtu anayetimiza vigezo anaruhusiwa kuchukua fomu whether yupo incumbent au hayupo.
Ndio maana mpaka sasa hivi waliochukua fomu ya Uenyekiti ni wanne.
Mbowe apishe lili watu wapate uhuru ni hoja muflis na ya kitoto.
Mbowe ana haki kikatiba kugombea.Kama mgombea wako ni dhaifu anataka walk over basi hafai kugombea Uenyekiti .
Hakuna Uenyekiti wa dezo kura zitaamua au huna huna imani na uchaguzi?
 
Hii namba
Hii namba 6 ninasadiki kabisa
 
Huyu mwandishi hajajitendea haki wala hakututendea haki.
Kwa yeye kuwa mwandishi mzoefu alitakiwa kujua kuwa Chadema bila Dk Slaa kisingekuwa imara kwa kiwango hicho.Kupeleka sifa zote kwa Mbowe pekee siyo kuitendea haki taaluma ya uandishi wa habari.
 
wana utaratibu wao
Utaratibu kwa muongozo upi? Mbona Shibuda alichukua fomu akafukuzwa chama. Hata Membe alitaka fomu 2020 akafukuzwa chama. Hiyo sio demokrasia
Mbowe apishe lili watu wapate uhuru ni hoja muflis na ya kitoto.
Sio ya kitoto, hata Democrats walishindwa chukua fomu pale Biden alipo endorse Kamala. Ila kama angeacha open primary wangechukua fomu wagombea wengi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…