Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Aende wapi?😁Mbowe aondoke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aende wapi?😁Mbowe aondoke
Anaandika Absalom Kibanda
Katika hili kundi lililofungiwa sina cha kuficha hata kimoja. Usitumie moyo au ulimi kufikiri.
Jeuri na nguvu ya CHADEMA leo ni matokeo ya kazi ya kutukuka ya Freeman Aikaeli Mbowe.
Mkwamo wa Chadema leo unatokana na Mbowe kukumbatia sana makosa ya Lissu na wasaidizi wake kwa manufaa ya Chadema, lakini leo yeye ndiye anapigwa. Chadema imejitoa katika maridhiano kwa sababu ya Mbowe kukubali kutekwa na akina Lissu. Yote haya ni matokeo ya makosa ya kujutia huyo huyo Freeman Aikaeli Mbowe.
Jeuri, kiburi na hata uzima wa Tundu Antipasi Lissu ni matokeo ya uongozi mahiri wa Freeman Aikaei Mbowe.
Mashabiki na maadui wa Freeman Aikaeli Mbowe leo walio ndani na nje ya CHADEMA leo ni zao la uongozi wa Freeman Aikaeli Mbowe.
Mbowe ni kiongozi shupavu na mjenzi, Lissu ni mwanaharakati machachari. Mbowe ni mbunifu, Lissu ni zao la ubunifu wa Mbowe.
Unaweza kumfananisha Mbowe na Mwalimu Nyerere katika kujenga chama au na Nelson Mandela kwa kujitoa kwa ajili ya watu wake.
Unaweza kumfananisha Lissu na Chris Hani kwa misimamo
Mikali au Christopher Mtikila kwa upambanaji na zaidi Augustine Mrema kwa kushabikiwa.
Unao uhuru wa kuchagua
Update..1
Naweka hapa hii Comment ya MwanaJamii Forum kuhusiana na habari hii
Mambo 6 yaliyoibuka kuhusu uchangiaji wa mashabiki wa Tundu Lissu baada ya andishi la Mwanahabari nguli Absalom Kibanda.
1. Mwandishi ameongea ukweli unaowauma mashabiki wa Lisu. Wanajua kuwa Lisu amekuwa hivyo alivyo leo kwasababu ya Mbowe "kumvumilia makosa yake mengi" lakini hawataki kukubali kwasababu wao wanaamini Lisu ni bora sana kuliko Mbowe kwasababu anaongea zaidi
2. Wachangiaji wengi wanapenda ushabiki na kwasababu ni mashabiki wanadhani ni rahisi kusema "iwe hivi" na ikawa hivyo muda huo huo kama Mungu alivyoumba dunia na vilivyomo kwa kutamka. Kila anachosema Lisu wao wanakipokea na kukimeza wakidhani ni rahisi rahisi kama anavyokitamka. Tusubiri mwakani tuone "No reforms No election" itakavyotekelezeka
3. Wanaamini Lisu ataiamrisha serikali na kila atakachoamrisha kitatekelezwa na serikali tena bila kuchelewa. Wasichokijua ni kwamba Lisu mwenyewe anajua kuwa hilo haliwezekani
4. Hawaelewi kuwa Lisu ni mwanaharakati na kazi ya mwanaharakati kila siku ni kuongea na kuwajaza matumaini wanaomshabikia. Akishaongea na kuwajaza matumaini "hewa" wanaomshabikia amemaliza kazi yake
5. Wanashindwa kutofautisha kati ya kampeni za kutaka uongozi na kampeni za kutaka kukubalika zaidi kuliko mwingine. Kiongozi bora haombi kuungwa mkono kwa kumsema mwenzake bali kwa hoja na mikakati bora zaidi ya mwenzake
6. Walitamani Lisu aachwe agombee peke yake
LIssu anafurumusha matusi kwa kila mtu.Anaandika Absalom Kibanda

anaweza kuweka hadharani mambo yake na mkewe chumbaniLissu hana siri!
Sisindio was hovyo!anaweza kuweka hadharani mambo yake na mkewe chumbani
ni wa hovyo sana
Hana akiba ya maneno
Tofauti na unavyosema, hakuna aliyepinga Lissu kuchukua fomu. Hata Mbowe hajawahi kutamka hivyo hadharani. Tunachopinga ni:Nani kasema Lissu aachiwe? Sijui unaongea pumba gani. Tunajadili statement za Absalom kibanda kuwa Mbowe ajilaumu kwa kutengeneza watu calibre ya Lissu. Ikimaanisha Lissu amekuja kumgeuka aliyemtengeneza. Kwahiyo ndio tunajiuliza kwani kosa gani Lissu kafanya kwa kuchukua fomu ya uenyekiti? Stick kwenye mada
Na unaamini kila alichosema Mtikila?Mimi tena?? Aliyeongea hayo ni hayati Mchungaji Christopher Mtikila
Nililiona andiko hili nikawa nalipita bila kusoma nikijipa muda wa kutafakari kwanza heading ili niweze kuja kusoma na kujadili. Kimsingi nimeona hoja ya Kibanda imejikita kwenye kampeni zaidi na imejielekeza kwenye destructive politics.Anaandika Absalom Kibanda
Katika hili kundi lililofungiwa sina cha kuficha hata kimoja. Usitumie moyo au ulimi kufikiri.
Jeuri na nguvu ya CHADEMA leo ni matokeo ya kazi ya kutukuka ya Freeman Aikaeli Mbowe.
Mkwamo wa Chadema leo unatokana na Mbowe kukumbatia sana makosa ya Lissu na wasaidizi wake kwa manufaa ya Chadema, lakini leo yeye ndiye anapigwa. Chadema imejitoa katika maridhiano kwa sababu ya Mbowe kukubali kutekwa na akina Lissu. Yote haya ni matokeo ya makosa ya kujutia huyo huyo Freeman Aikaeli Mbowe.
Jeuri, kiburi na hata uzima wa Tundu Antipasi Lissu ni matokeo ya uongozi mahiri wa Freeman Aikaei Mbowe.
Mashabiki na maadui wa Freeman Aikaeli Mbowe leo walio ndani na nje ya CHADEMA leo ni zao la uongozi wa Freeman Aikaeli Mbowe.
Mbowe ni kiongozi shupavu na mjenzi, Lissu ni mwanaharakati machachari. Mbowe ni mbunifu, Lissu ni zao la ubunifu wa Mbowe.
Unaweza kumfananisha Mbowe na Mwalimu Nyerere katika kujenga chama au na Nelson Mandela kwa kujitoa kwa ajili ya watu wake.
Unaweza kumfananisha Lissu na Chris Hani kwa misimamo
Mikali au Christopher Mtikila kwa upambanaji na zaidi Augustine Mrema kwa kushabikiwa.
Unao uhuru wa kuchagua
Update..1
Naweka hapa hii Comment ya MwanaJamii Forum kuhusiana na habari hii
Mambo 6 yaliyoibuka kuhusu uchangiaji wa mashabiki wa Tundu Lissu baada ya andishi la Mwanahabari nguli Absalom Kibanda.
1. Mwandishi ameongea ukweli unaowauma mashabiki wa Lisu. Wanajua kuwa Lisu amekuwa hivyo alivyo leo kwasababu ya Mbowe "kumvumilia makosa yake mengi" lakini hawataki kukubali kwasababu wao wanaamini Lisu ni bora sana kuliko Mbowe kwasababu anaongea zaidi
2. Wachangiaji wengi wanapenda ushabiki na kwasababu ni mashabiki wanadhani ni rahisi kusema "iwe hivi" na ikawa hivyo muda huo huo kama Mungu alivyoumba dunia na vilivyomo kwa kutamka. Kila anachosema Lisu wao wanakipokea na kukimeza wakidhani ni rahisi rahisi kama anavyokitamka. Tusubiri mwakani tuone "No reforms No election" itakavyotekelezeka
3. Wanaamini Lisu ataiamrisha serikali na kila atakachoamrisha kitatekelezwa na serikali tena bila kuchelewa. Wasichokijua ni kwamba Lisu mwenyewe anajua kuwa hilo haliwezekani
4. Hawaelewi kuwa Lisu ni mwanaharakati na kazi ya mwanaharakati kila siku ni kuongea na kuwajaza matumaini wanaomshabikia. Akishaongea na kuwajaza matumaini "hewa" wanaomshabikia amemaliza kazi yake
5. Wanashindwa kutofautisha kati ya kampeni za kutaka uongozi na kampeni za kutaka kukubalika zaidi kuliko mwingine. Kiongozi bora haombi kuungwa mkono kwa kumsema mwenzake bali kwa hoja na mikakati bora zaidi ya mwenzake
6. Walitamani Lisu aachwe agombee peke yake
Achukue fomu, agombee lakini aache kumdhihaki Mbowe kwenye majukwaa. Kuna maisha baada ya 21, JanuariKibanda kasema Mbowe ajilaumu kwa kumtengeneza Lissu. Ndio najiuliza kwani ni kosa kwa Lissu kuchukua fomu? Ilipaswa apongezwe kwa kutimiza demokrasia. Huko CCM miaka yote mwenyekiti anapita bila kupingwa tukaita udikteta ila chadema tunataka kurudia hilo hilo kwamba Mbowe hapaswi kupingwa.
Anaandika Absalom Kibanda
Katika hili kundi lililofungiwa sina cha kuficha hata kimoja. Usitumie moyo au ulimi kufikiri.
Jeuri na nguvu ya CHADEMA leo ni matokeo ya kazi ya kutukuka ya Freeman Aikaeli Mbowe.
Mkwamo wa Chadema leo unatokana na Mbowe kukumbatia sana makosa ya Lissu na wasaidizi wake kwa manufaa ya Chadema, lakini leo yeye ndiye anapigwa. Chadema imejitoa katika maridhiano kwa sababu ya Mbowe kukubali kutekwa na akina Lissu. Yote haya ni matokeo ya makosa ya kujutia huyo huyo Freeman Aikaeli Mbowe.
Jeuri, kiburi na hata uzima wa Tundu Antipasi Lissu ni matokeo ya uongozi mahiri wa Freeman Aikaei Mbowe.
Mashabiki na maadui wa Freeman Aikaeli Mbowe leo walio ndani na nje ya CHADEMA leo ni zao la uongozi wa Freeman Aikaeli Mbowe.
Mbowe ni kiongozi shupavu na mjenzi, Lissu ni mwanaharakati machachari. Mbowe ni mbunifu, Lissu ni zao la ubunifu wa Mbowe.
Unaweza kumfananisha Mbowe na Mwalimu Nyerere katika kujenga chama au na Nelson Mandela kwa kujitoa kwa ajili ya watu wake.
Unaweza kumfananisha Lissu na Chris Hani kwa misimamo
Mikali au Christopher Mtikila kwa upambanaji na zaidi Augustine Mrema kwa kushabikiwa.
Unao uhuru wa kuchagua
Update..1
Naweka hapa hii Comment ya MwanaJamii Forum kuhusiana na habari hii
Mambo 6 yaliyoibuka kuhusu uchangiaji wa mashabiki wa Tundu Lissu baada ya andishi la Mwanahabari nguli Absalom Kibanda.
1. Mwandishi ameongea ukweli unaowauma mashabiki wa Lisu. Wanajua kuwa Lisu amekuwa hivyo alivyo leo kwasababu ya Mbowe "kumvumilia makosa yake mengi" lakini hawataki kukubali kwasababu wao wanaamini Lisu ni bora sana kuliko Mbowe kwasababu anaongea zaidi
2. Wachangiaji wengi wanapenda ushabiki na kwasababu ni mashabiki wanadhani ni rahisi kusema "iwe hivi" na ikawa hivyo muda huo huo kama Mungu alivyoumba dunia na vilivyomo kwa kutamka. Kila anachosema Lisu wao wanakipokea na kukimeza wakidhani ni rahisi rahisi kama anavyokitamka. Tusubiri mwakani tuone "No reforms No election" itakavyotekelezeka
3. Wanaamini Lisu ataiamrisha serikali na kila atakachoamrisha kitatekelezwa na serikali tena bila kuchelewa. Wasichokijua ni kwamba Lisu mwenyewe anajua kuwa hilo haliwezekani
4. Hawaelewi kuwa Lisu ni mwanaharakati na kazi ya mwanaharakati kila siku ni kuongea na kuwajaza matumaini wanaomshabikia. Akishaongea na kuwajaza matumaini "hewa" wanaomshabikia amemaliza kazi yake
5. Wanashindwa kutofautisha kati ya kampeni za kutaka uongozi na kampeni za kutaka kukubalika zaidi kuliko mwingine. Kiongozi bora haombi kuungwa mkono kwa kumsema mwenzake bali kwa hoja na mikakati bora zaidi ya mwenzake
6. Walitamani Lisu aachwe agombee peke yake
Achukue fomu, agombee lakini aache kumdhihaki Mbowe kwenye majukwaa. Kuna maisha baada ya 21, Januari
Siasa za Afrika haziwezi kuwa na tija mpaka kwanza zitoke kujadiki watu ziende kujadili issues.Anaandika Absalom Kibanda

Nyie endeleeni kumshauri vibaya tu huyo Mbowe wenu, nawahakikishia Mbowe akiendelea kubakia kuwa mwenyekiti mwaka huu october hakuna kitu mtaambulia
Hoja za marehemu Chacha Wangwe ndio hizo hizo zimeibuliwa na Lissu
Chama kina wafadhiri kibao, kina ruzuku lkn bado kinatia huruma njaa kibao karibia ofisi zote za chini zimejengwa kwa michango ya wanachama je pesa hizo zinafanya kazi gani?
Usiri usiri usiriiiiii usio na maana na nasema tena Chadema ya Mbowe haifai kuongoza nchi kama ameweza kukifanyia ufisadi chama chake vipi nchi itakuwa salama kwelo?
Bado kuna utata wa vifo vya wanachama kuna wengine tunaisingdizia bure serikali siamini kama kifo cha mzee Kibao kina mkono wa serikali moka kwa moja
hapo sasa. Kuwafanya waTz wote ni wajinga huleta maudhi sanaHivi kuna watu wanayaamini haya maridhiano kwamba yanakwenda popote pa maana?
Unafanyaje maridhiano na mtu ambaye bado anateka na kuua watu wako?