Freeman Mbowe ajipanga kuuthibitishia Umma kuhusu nyongeza ya mishahara ya Wabunge

Better late than never……,! Ongezeko la million tano ?????
Hata ilivyokuwa 13m plus Posho na marupurupu kwa nchi hii ya wabangaizaji wasio na uhakika wa milo mitatu ilikuwa ni kufuru.....; Ndio maana nasema the end justifies the means..., ila akirudi kundini siku wakipandisha mpaka 30 asisite kutwambia, kubisha na hata kuzikataa sio kukaa kimya sababu ananeemeka....
 
Akili yangu inanituma kusema, Mbowe kama wanasiasa wengi tu, hutoa madai au shutuma ili tu, wachochee migogoro.
Wanapofanya hivyo, wanavutia na ku score point za kisiasa.
Alichokifanya mbowe, uwe ni ukweli au lah(bunge limekanusha madai yake) naweza kusema, ametumia madai au shutuma hizo kama mkakati wa kupata kiki ya kisiasa na kubandikwq kwenye vichwa vya habari-kwa kuchochea mgogoro.

Sasa unaniuliza maswali ambayo ulitakiwa umuulize bosi wako, ili iweje bwashee?
Ambacho hukijui ni hiki , kwa level aliyofikia Mbowe , hatafuti tena Kiki
 
Akili yangu inanituma kusema, Mbowe kama wanasiasa wengi tu, hutoa madai au shutuma ili tu, wachochee migogoro.
Wanapofanya hivyo, wanavutia na ku score point za kisiasa.
Alichokifanya mbowe, uwe ni ukweli au lah(bunge limekanusha madai yake) naweza kusema, ametumia madai au shutuma hizo kama mkakati wa kupata kiki ya kisiasa na kubandikwq kwenye vichwa vya habari-kwa kuchochea mgogoro.

Sasa unaniuliza maswali ambayo ulitakiwa umuulize bosi wako, ili iweje bwashee?
Kwa fikra zako mfu ulitegemea bunge lisikanushe wakati mpaka Leo limewakumbatia COVID-19
 
Akimaliza atuambie na hela zote anazolipwa yeye hapo chamani kwake
 
Kutibitisha ndiyo nini acheni kunyonya jasho la watanzania mafisi nyie
Ndio majibu waliokutuma ujibu kutoka Ufipa?

Hata hivyo umeibua hoja, nikuulize CHADEMA wamefanya nini kurudisha TShs.2.7billion za walipa kodi, bila ya kusahau kwamba walikuwa hawaitambui Serikali hii? Haijalishi, nyie hamuoni hizo ni hela za wavuja jasho? Aaahh

Hivi kati yangu na Mbowe nani fisi? 20Yrs anasaka madaraka ya Urais! Kama fisi anayesubiri mkono udondoke.

Hebu njoo na wanyama wengine, ila sio fisi.
 
Taarifa nilizonazo zinaeleza kwamba Freeman Mbowe na timu yake iliyoko bungeni na hazina wanajipanga kuuthibitisha umma kwamba wabunge wa Tanzania wameongezewa mshahara kutoka milioni 13 hadi milioni 18, nyongeza ya milioni 5 kamili.

Ikumbukwe kwamba wafanyakazi wa Tanzania waliongezewa kati ya Tsh elfu 8 na elfu 18, kutegemeana na ngazi ya mshahara, hii ilitokana na ahadi ya nyongeza ya mishahara ya mtukufu rais aliyoitoa kwenye sherehe za Mei Mosi na kupigiwa makofi mengi na wafanyakazi wakiwemo walimu.

Baada ya uthibitisho huo unaopangwa kutolewa wakati wowote kuanzia sasa, unadhani ni hatua gani zifuate?

Ikumbukwe kwamba si mara ya kwanza kwa Bunge la Tanzania kuukanusha ukweli , kuna wakati waliwakusanya wanawake wanaowajua wenyewe na kwa kutumia nyaraka za kufoji wakawaapisha kuwa Wabunge wa Viti maalum wa Chadema , hata hivyo baadaye ikaja kuthibitika kwamba wanawake hao hawakuteuliwa na Chadema .
Mbunge hatakiwi kulipwa zaidi ya milioni 2. Hii ni kufuru na laana. Kwa kazi ipi?
 
Kwa fikra zako mfu ulitegemea bunge lisikanushe wakati mpaka Leo limewakumbatia COVID-19
Bora Bunge limekanusha, CHADEMA wameshwahi wapi kutoa uthibitisho wa tuhuma zao?

Ni tuhuma ngapi ambazo wameshatoa majukwaani ambazo wameshawahi kuthibitisha?
 
Ndio majibu waliokutuma ujibu kutoka Ufipa?

Hata hivyo umeibua hoja, nikuulize CHADEMA wamefanya nini kurudisha TShs.2.7billion za walipa kodi, bila ya kusahau kwamba walikuwa hawaitambui Serikali hii? Haijalishi, nyie hamuoni hizo ni hela za wavuja jasho? Aaahh

Hivi kati yangu na Mbowe nani fisi? 20Yrs anasaka madaraka ya Urais! Kama fisi anayesubiri mkono udondoke.

Hebu njoo na wanyama wengine, ila sio fisi.
Fisi ni maccm tangu 1961 mmeng,ang,ania madaraka na imezalisha makunguni na machawa mpaka wazee na wajikuu
 
Mbunge hatakiwi kulipwa zaidi ya milioni 2. Hii ni kufuru na laana. Kwa kazi ipi?
Kwa kanuni zipi na sheria zipi?

Itoshe kuwalipa hawa wawakilishi wetu fedha ndefu kunaondoa uwezekano wao wa kupewa rushwa.

Nilidhani CHADEMA imeacha siasa za Uharakati.

Wananchi wanataka chakula mezani, sio kijitabu cha Katiba, sio tuhuma zisizo na miguu wala mikono, wala sio Mbunge wao analipwa kiasi gani cha fedha.

Alichokifanya ni kuwachonganisha wananchi na wawakilishi wake.
 
Fisi ni maccm tangu 1961 mmeng,ang,ania madaraka na imezalisha makunguni na machawa mpaka wazee na wajikuu
CHADEMA Wameshawahi kuthibitisha tuhuma ngapi ambazo wametoa majukwaani. Tuanze hapo.

Hayo ya 1961 waachie wana Historia wa Uhuru.
 
Kwa kanuni zipi na sheria zipi?

Itoshe kuwalipa hawa wawakilishi wetu fedha ndefu kunaondoa uwezekano wao wa kupewa rushwa.

Nilidhani CHADEMA imeacha siasa za Uharakati.

Wananchi wanataka chakula mezani, sio kijitabu cha Katiba, sio tuhuma zisizo na miguu wala mikono, wala sio Mbunge wao analipwa kiasi gani cha fedha.

Alichokifanya ni kuwachonganisha wananchi na wawakilishi wake.
Mimi kama mwananchi minahitaji katiba mpya. Rushwa ata madaktari basi walipwe pesa ndefu tuone. Hakuna sababu ya kuwalipa hao watu . Milioni na nauli inawatosha sana.
 
Haki yako na izingatiwe.

Wewe umeshawahi kusikia wapi CHADEMA wametoa au kuleta uthibisho wa tuhuma wanazozitoa majukwaani?

Ukiniwekea moja tu, nafuta Posti yangu ya kwanza.
 
Taarifa nilizonazo zinaeleza kwamba Freeman Mbowe na timu yake iliyoko bungeni na hazina wanajipanga kuuthibitisha umma kwamba wabunge wa Tanzania wameongezewa mshahara kutoka milioni 13 hadi milioni 18, nyongeza ya milioni 5 kamili.

Ikumbukwe kwamba wafanyakazi wa Tanzania waliongezewa kati ya Tsh elfu 8 na elfu 18, kutegemeana na ngazi ya mshahara, hii ilitokana na ahadi ya nyongeza ya mishahara ya mtukufu rais aliyoitoa kwenye sherehe za Mei Mosi na kupigiwa makofi mengi na wafanyakazi wakiwemo walimu.

Baada ya uthibitisho huo unaopangwa kutolewa wakati wowote kuanzia sasa, unadhani ni hatua gani zifuate?

Ikumbukwe kwamba si mara ya kwanza kwa Bunge la Tanzania kuukanusha ukweli , kuna wakati waliwakusanya wanawake wanaowajua wenyewe na kwa kutumia nyaraka za kufoji wakawaapisha kuwa Wabunge wa Viti maalum wa Chadema , hata hivyo baadaye ikaja kuthibitika kwamba wanawake hao hawakuteuliwa na Chadema .
Vipi wewe sio mmoja wa waandishi wa habari wa mwanahalisi waliotapeliwa na kijana wa mbowe?
 
Haki yako na izingatiwe.

Wewe umeshawahi kusikia wapi CHADEMA wametoa au kuleta uthibisho wa tuhuma wanazozitoa majukwaani?

Ukiniwekea moja tu, nafuta Posti yangu ya kwanza.
Nimekwambia mimi ni mwanachama wa CHADEMA? Acha ku diverge. Hakuna sababu ya msingi ya wabunge kulipwa zaidi ya hicho nilichoandika. Usiniletee mambo ya mavyama. Naongea kama mtu huru.
 
Bwanaee tumechokaa!!! Yeye aungane na Lissu kupigania Katiba na Hifadhi zetu. Mbowe aache kumvuta shati Lissu.

Hayo mengine yatakuja tukifanikiwa kila kitu kitakaa vizuri.

Yule Nabii wenu pia kabaki kutukana Mashehe na Wachungaji tu!! Ondoeni uroho wa pesa ili tuendelee kuiamini CHADEMA. Ngedere wakubwa nyie
Daah, hii nchi ngumu sana. Imagine mtu kama wewe daah!
 
Back
Top Bottom