Freeman Mbowe ajipanga kuuthibitishia Umma kuhusu nyongeza ya mishahara ya Wabunge

Pia aseme jinsi michango ya Join The Chain ilivyotumika. Pia pesa za Sabodo. Mbowe kachagua ugomvi wa mawe huku akiwa kwenye nyumba ya vioo. Kwenye hoja inayohusika na hela Mbowe angekaa tu kimya.
 
Hiyo sema wewe
 
Mimi namlaumu saaana mbowe amekaa kimya mno kipindi cha mama huku CCM inatuumiza vibaya mno haiwezekani Bei ya mafuta ,sukari na bidhaa nyingine zinapandishwa na mafisadi na mgao wa umeme ni zao la mafisadi alafu chadema wanashindwa kutwambia michongoo ya mafisadi papa wa CCM.
 
Mkuu hata yale maandamano kabambe hujayaona ?
 
Wabunge wameongezewa mishahara na Rais baada ya kupeleka pendekezo kwa Spika wa bunge nae spika akapeleka kwa Rais na Rais kaidhinisha ongezeko hilo!

Huu ndio utaratibu wa kawaida maana mwenye funguo za hazina ya nchi na mwenye kuhojiwa kuhusu matumizi yeyote ya pesa yeyote na anaye takiwa kujua kila pesa ni Rais na hakuna jambo la pesa au mshahara unaopitishwa bila Rais kukubali!

Bila shaka pengine watumishi meimosi wataongezewa mshahara na kima cha chini cha mshahara kitakuwa million 4 na bila shaka wabunge wametangulia na wengine wamefata!

Yani kwa wale ambao hawajui kuhesabu yani wabunge wameongezewa million 5 na ushee kwenye mshahara wao ambao haukatwi kodi yeyote yani wabunge hawana mambo ya chama cha wafanyakazi na maana yake pesheni yao imepanda kutoka million miambili na ushee na kwenda million mia nne na ushee…….
Yani kwa muktadha huu Rais amevunja rekodi sidhani kama kuwai kutokea ongezeko kubwa namna hii la mshahara kwa watumishi!

Hivyo wakati wa kuvunja bunge 2025 kila mbunge bila kujali atarudi bungeni au lah atakunja fao nono la Tsh 400,000,000+/=
Yani mwakani ni mwendo wa kupiga sarakasi….
Billions of money.
 
Taarifa nilizonazo zinaeleza kwamba Freeman Mbowe na timu yake iliyoko bungeni na hazina wanajipanga kuuthibitisha umma kwamba wabunge wa Tanzania wameongezewa mshahara kutoka milioni 13 hadi milioni 18, nyongeza ya milioni 5 kamili.

Ikumbukwe kwamba wafanyakazi wa Tanzania waliongezewa kati ya Tsh elfu 8 na elfu 18, kutegemeana na ngazi ya mshahara, hii ilitokana na ahadi ya nyongeza ya mishahara ya mtukufu rais aliyoitoa kwenye sherehe za Mei Mosi na kupigiwa makofi mengi na wafanyakazi wakiwemo walimu.

Baada ya uthibitisho huo unaopangwa kutolewa wakati wowote kuanzia sasa, unadhani ni hatua gani zifuate?

Ikumbukwe kwamba si mara ya kwanza kwa Bunge la Tanzania kuukanusha ukweli , kuna wakati waliwakusanya wanawake wanaowajua wenyewe na kwa kutumia nyaraka za kufoji wakawaapisha kuwa Wabunge wa Viti maalum wa Chadema , hata hivyo baadaye ikaja kuthibitika kwamba wanawake hao hawakuteuliwa na Chadema .
Mbaya sana kiongozi mwenye heshima kuokoteza maneno ya kwenye kahawa anakwenda kuumbuka!
 
Basi mzee mbowe atakuwa mbunge 2025😎😎
Unaadabu sana kumuita Mbowe Mzee. Uzee ni baraka na siyo kila mtu anapata hiyo baraka. Omba sana Mungu akujalie uzee kama Mbowe
 
Wabunge wameongezewa mishahara na Rais baada ya kupeleka pendekezo kwa Spika wa bunge nae spika akapeleka kwa Rais na Rais kaidhinisha ongezeko hilo!

Huu ndio utaratibu wa kawaida maana mwenye funguo za hazina ya nchi na mwenye kuhojiwa kuhusu matumizi yeyote ya pesa yeyote na anaye takiwa kujua kila pesa ni Rais na hakuna jambo la pesa au mshahara unaopitishwa bila Rais kukubali!

Bila shaka pengine watumishi meimosi wataongezewa mshahara na kima cha chini cha mshahara kitakuwa million 4 na bila shaka wabunge wametangulia na wengine wamefata!

Yani kwa wale ambao hawajui kuhesabu yani wabunge wameongezewa million 5 na ushee kwenye mshahara wao ambao haukatwi kodi yeyote yani wabunge hawana mambo ya chama cha wafanyakazi na maana yake pesheni yao imepanda kutoka million miambili na ushee na kwenda million mia nne na ushee…….
Yani kwa muktadha huu Rais amevunja rekodi sidhani kama kuwai kutokea ongezeko kubwa namna hii la mshahara kwa watumishi!

Hivyo wakati wa kuvunja bunge 2025 kila mbunge bila kujali atarudi bungeni au lah atakunja fao nono la Tsh 400,000,000+/=
Yani mwakani ni mwendo wa kupiga sarakasi….
Mtumishi analipwa laki 3 na elfu sabini.
Ale, alipe nauli kwenda kazini, asomeshe, akatwe makato ya bima, payee, na chama cha wafanyakazi.
Jamaa walivyo wajanja hiyo pesa wameongeza kwenye posho ili wasikatwe
 
Ukiona nchii nyingine wanapigana vita husishangae kabisa yaani wanaiba kila kitu fedha na kura zinaibiwa..hivi mtu mwema anawezaje kuwa raisi wa Tanzania na akaona haya yote akafumba macho??
 
Mtumishi analipwa laki 3 na elfu sabini.
Ale, alipe nauli kwenda kazini, asomeshe, akatwe makato ya bima, payee, na chama cha wafanyakazi.
Jamaa walivyo wajanja hiyo pesa wameongeza kwenye posho ili wasikatwe
Inasikitisha sana. Kuna watu wanawaonea wenzao hadi hasira
 
Hawa wagonga meza wasiotetea umma lazima tuendelee kuanika mishahara na marupurupu yao hadi waamue kusimama na wananchi wanaolipa kodi badala ya watawala.

Wakulima, wavuvi, wafugaji, madaktari, waalimu, mapolisi, wafanyabiashara n.k kodi yenu inatumika kuwalipa wabunge wagonga meza wajivuni wa kusifu, kutukuza na kugani kazi kubwa za watawala badala ya kuwatetea:

SALARY SLIP YA MBUNGE : TAX FREE?

Mshahara wa mbunge wa zaidi ya bilioni moja kila mwaka (miezi 12) ktk kikokotoo:

Mchanganuo wa mshahara wa miaka mitano wa mbunge ni Bilioni 1 na milioni themanini :

Shilingi 18,000,000 x miezi 12 = 216,000,000

Shilingi 216,000,000 × miaka 5 =1,080,000,000

  • Bado hapo pia anapokea allowance za vikao vya bajeti
  • Ziara za mafunzo Dubai, India n.k
  • Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge PAC, LAAC, Mambo ya Nje na ulinzi usalama n.k
  • Marupurupu ya mkopo wa gari n.k
  • Bima ya Afya kwa mbunge hospitali VIP Class n.k
  • Pensheni ya mkupuo akimaliza ubunge miaka
 
Hawapendi mambo yao yakiwekwa hadharani. Ngoja walipa kodi wacharuke muone tarakimu zitakazojazwa hapa
 
Pia aseme jinsi michango ya Join The Chain ilivyotumika. Pia pesa za Sabodo. Mbowe kachagua ugomvi wa mawe huku akiwa kwenye nyumba ya vioo. Kwenye hoja inayohusika na hela Mbowe angekaa tu kimya.
Hii fungulia uzi lakini kwa sasa tunataka kujua million 18 watapiga sarakasi ngapi bungeni?
 
Mtumishi analipwa laki 3 na elfu sabini.
Ale, alipe nauli kwenda kazini, asomeshe, akatwe makato ya bima, payee, na chama cha wafanyakazi.
Jamaa walivyo wajanja hiyo pesa wameongeza kwenye posho ili wasikatwe
Kwa wastani kama nyongeza ya milioni 5 inayosemwa ni kweli, ingetosha kulipa mishahara ya watumishi 13 badala ya kumuongezea mbunge moja. Zaidi ya watumishi 5000 ukizidisha kwa idadi ya wabunge wote. Kuna upungufu kiasi gani wa wafanyakazi mashuleni na vituo vya afya? Bunge la staili yetu lina ongeza thamani kiasi gani kwenye maendeleo yetu?
 
Back
Top Bottom