Freeman Mbowe ajipanga kuuthibitishia Umma kuhusu nyongeza ya mishahara ya Wabunge

Better late than never……,! Ongezeko la million tano ?????
Hata ilivyokuwa 13m plus Posho na marupurupu kwa nchi hii ya wabangaizaji wasio na uhakika wa milo mitatu ilikuwa ni kufuru.....; Ndio maana nasema the end justifies the means..., ila akirudi kundini siku wakipandisha mpaka 30 asisite kutwambia, kubisha na hata kuzikataa sio kukaa kimya sababu ananeemeka....
 
Ambacho hukijui ni hiki , kwa level aliyofikia Mbowe , hatafuti tena Kiki
 
Kwa fikra zako mfu ulitegemea bunge lisikanushe wakati mpaka Leo limewakumbatia COVID-19
 
Akimaliza atuambie na hela zote anazolipwa yeye hapo chamani kwake
 
Kutibitisha ndiyo nini acheni kunyonya jasho la watanzania mafisi nyie
Ndio majibu waliokutuma ujibu kutoka Ufipa?

Hata hivyo umeibua hoja, nikuulize CHADEMA wamefanya nini kurudisha TShs.2.7billion za walipa kodi, bila ya kusahau kwamba walikuwa hawaitambui Serikali hii? Haijalishi, nyie hamuoni hizo ni hela za wavuja jasho? Aaahh

Hivi kati yangu na Mbowe nani fisi? 20Yrs anasaka madaraka ya Urais! Kama fisi anayesubiri mkono udondoke.

Hebu njoo na wanyama wengine, ila sio fisi.
 
Mbunge hatakiwi kulipwa zaidi ya milioni 2. Hii ni kufuru na laana. Kwa kazi ipi?
 
Kwa fikra zako mfu ulitegemea bunge lisikanushe wakati mpaka Leo limewakumbatia COVID-19
Bora Bunge limekanusha, CHADEMA wameshwahi wapi kutoa uthibitisho wa tuhuma zao?

Ni tuhuma ngapi ambazo wameshatoa majukwaani ambazo wameshawahi kuthibitisha?
 
Fisi ni maccm tangu 1961 mmeng,ang,ania madaraka na imezalisha makunguni na machawa mpaka wazee na wajikuu
 
Mbunge hatakiwi kulipwa zaidi ya milioni 2. Hii ni kufuru na laana. Kwa kazi ipi?
Kwa kanuni zipi na sheria zipi?

Itoshe kuwalipa hawa wawakilishi wetu fedha ndefu kunaondoa uwezekano wao wa kupewa rushwa.

Nilidhani CHADEMA imeacha siasa za Uharakati.

Wananchi wanataka chakula mezani, sio kijitabu cha Katiba, sio tuhuma zisizo na miguu wala mikono, wala sio Mbunge wao analipwa kiasi gani cha fedha.

Alichokifanya ni kuwachonganisha wananchi na wawakilishi wake.
 
Fisi ni maccm tangu 1961 mmeng,ang,ania madaraka na imezalisha makunguni na machawa mpaka wazee na wajikuu
CHADEMA Wameshawahi kuthibitisha tuhuma ngapi ambazo wametoa majukwaani. Tuanze hapo.

Hayo ya 1961 waachie wana Historia wa Uhuru.
 
Mimi kama mwananchi minahitaji katiba mpya. Rushwa ata madaktari basi walipwe pesa ndefu tuone. Hakuna sababu ya kuwalipa hao watu . Milioni na nauli inawatosha sana.
 
Mimi kama mwananchi minahitaji katiba mpya. Rushwa ata madaktari basi walipwe pesa ndefu tuone. Hakuna sababu ya kuwalipa hao watu . Milioni na nauli inawatosha sana.
Haki yako na izingatiwe.

Wewe umeshawahi kusikia wapi CHADEMA wametoa au kuleta uthibisho wa tuhuma wanazozitoa majukwaani?

Ukiniwekea moja tu, nafuta Posti yangu ya kwanza.
 
Vipi wewe sio mmoja wa waandishi wa habari wa mwanahalisi waliotapeliwa na kijana wa mbowe?
 
Haki yako na izingatiwe.

Wewe umeshawahi kusikia wapi CHADEMA wametoa au kuleta uthibisho wa tuhuma wanazozitoa majukwaani?

Ukiniwekea moja tu, nafuta Posti yangu ya kwanza.
Nimekwambia mimi ni mwanachama wa CHADEMA? Acha ku diverge. Hakuna sababu ya msingi ya wabunge kulipwa zaidi ya hicho nilichoandika. Usiniletee mambo ya mavyama. Naongea kama mtu huru.
 
Daah, hii nchi ngumu sana. Imagine mtu kama wewe daah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…