Freeman Mbowe ajipanga kuuthibitishia Umma kuhusu nyongeza ya mishahara ya Wabunge

Pia aseme jinsi michango ya Join The Chain ilivyotumika. Pia pesa za Sabodo. Mbowe kachagua ugomvi wa mawe huku akiwa kwenye nyumba ya vioo. Kwenye hoja inayohusika na hela Mbowe angekaa tu kimya.
Hizo nazo nikodi za wananchi? Mbona watanzania wanatoana kwenye reli kirahisi?
 
Unaadabu sana kumuita Mbowe Mzee. Uzee ni baraka na siyo kila mtu anapata hiyo baraka. Omba sana Mungu akujalie uzee kama Mbowe
Basi kuanzia leo nitakuwa namwita ,kijana Mbowe
 
Kwahiyo kama hazikutoka serikalini ni ruksa kuzitafuna?
Unapotoka kwenye mada na kuleta ishu ambayo ingepewa Uzi wake unajisikiaje mheshimiwa??unakuwa chawa au mchawi??zungumxia hiyo five m udipende kutetea ujinga kwanza kama wewe ni mkereketwa tupe mahesabu ya tozo tunaxokatwa kila siku au na wewe unaishi kwa tozo zetu.yaani nyie mishipa ya aibu imexhakatika.
 
Zungumxia, tunaxokatwa🤬🤬.. wewe kunguni ukiweza kuandika vizuri ndo uwe unajibu comments zangu
 
Maccm wezi sana ila sio mda kunakucha
 
Serikali iache ujenzi wakumbukeni wafanyakazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…