Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
HAwana hoja na hawawezi kusogea hapa, wanachungulia tuTunawakaribisha wenzetu wa CCM kwa mjadala huru na majibu ya hizi hoja.. Karibuni bila shaka! Tanganyika ni yetu sote! CHADEMA ni dira!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAwana hoja na hawawezi kusogea hapa, wanachungulia tuTunawakaribisha wenzetu wa CCM kwa mjadala huru na majibu ya hizi hoja.. Karibuni bila shaka! Tanganyika ni yetu sote! CHADEMA ni dira!
Clouds ni people's station, watangazaji wake wengi ni vipaji tuu na sio vyeti, sio shule!.Nakubaliana nawe, huyu mtangazaji ni nguli, anaielewa kazi yake, na kichwani kuna kitu. Siyo yule wa Clouds anayeuliza maswali ya umbeya kama wale watu wa mtaani wasio na weledi, na wala hawana hata ile akili ya kuzaliwa.