Freeman Mbowe alalamikia Uhamiaji uwanja wa ndege Nyerere kwa kumsumbua Mtoto wake ambaye ni raia wa Marekani kuingia nchini

Freeman Mbowe alalamikia Uhamiaji uwanja wa ndege Nyerere kwa kumsumbua Mtoto wake ambaye ni raia wa Marekani kuingia nchini

Akiwa Marekani akiongea na watanzania waishio marekani akisema mtoto wake wa kumzaa aliyezaliwa Marekani na mwenye uraia wa Marekani alisumbuliwa Airport Dar kwa masaa sita na kuzuiwa kupewa visa ya kuingia nchini hadi ikabidi aondoke aende Kenya ambako aliingia nchini kupitia Mombasa
Nadhani hii story fupi iko incomplete. Ktk communications skills kuna kitu kinaitwa seven Cs. Ikiwemo completeness. Hii haijakamilika kwa sababu haijasema; kwa nini Uhamiaji wamemnyima VISA! Pili, aliingiaje nchini kupitia Mombasa? Maana bado aliingia Tanzania na issue haikuwa kupita airport bali taratibu. Kwa uchache.... #Malizia story yako. 🙏🙏🙏
 
Siasa chafu hizo. Sasa mtoto ana kosa la baba tangu lini?
Hahaha hivi Dkt Magufuli hana watoto wao si walisherehekea kifp chake. Hata sisi watanzania hakuna kuwasamehe mpaka siku wakija kuomba msamaha kwa hilo jambo. Tena kama mbowe gaidi anapaswa awe jela akisubiri kunyongwa mpaka kufa. Kosa lao kubwa kabisa ndiyo hilo, mbowe gaidi ataendelea kuwa gaidi na hiyo NGO ili ipone inahitaji kubadili uongozi ila chini ya gaidi mbowe nina kuhakikishia hata vyombo vya ulinzi na usalama havina kabisa imani na huyu gaidi kama ilivyo kwa mlamba asali Zitto. Kwa chuki iliyopo juu ya mbowe na genge lake ni kubwa mno na kosa lao ndiyo hilo la kuendelea kusherehekea kifo cha Dkt Magufuli mtu ambaye aliwapenda sana na kuwathaminisha
 
Si umeambiwa ana uraia wa Marekani?!

It means aliingia kama Mmarekani, na kwahiyo alifuata utaratibu kama Mmarekani.

Lakini kwavile Uhamiaji walifahamu kwamba ni Mtoto wa Mbowe, hawakutaka tena kum-handle kama Mmarekani bali kama Mtoto wa Mbowe!

Na Tanzania tunazo nchi ambazo raia wake wanaweza kupata visa on arrival, na moja ya hizo nchi ni Marekani.
Mtoa maada hapa lengo lake ni kufikisha ujumbe ambao wengi hamkumuelewa. Kiufupi mkae mkifahamu hao mnao wapigania siku kikiwaka wanao wa kuwapokwa huko ughaibuni.
 
Hahaha hivi Dkt Magufuli hana watoto wao si walisherehekea kifp chake. Hata sisi watanzania hakuna kuwasamehe mpaka siku wakija kuomba msamaha kwa hilo jambo. Tena kama mbowe gaidi anapaswa awe jela akisubiri kunyongwa mpaka kufa. Kosa lao kubwa kabisa ndiyo hilo, mbowe gaidi ataendelea kuwa gaidi na hiyo NGO ili ipone inahitaji kubadili uongozi ila chini ya gaidi mbowe nina kuhakikishia hata vyombo vya ulinzi na usalama havina kabisa imani na huyu gaidi kama ilivyo kwa mlamba asali Zitto. Kwa chuki iliyopo juu ya mbowe na genge lake ni kubwa mno na kosa lao ndiyo hilo la kuendelea kusherehekea kifo cha Dkt Magufuli mtu ambaye aliwapenda sana na kuwathaminisha

Watoto wa Magufuli wamesumbuliwa lini? Labda ufafanue. Kama Mbowe unamuona ni gaidi, mtoto wake anahusika vipi?
 
Akiwa Marekani akiongea na Watanzania waishio Marekani akisema mtoto wake wa kumzaa aliyezaliwa Marekani na mwenye uraia wa Marekani alisumbuliwa Airport Dar kwa saa sita na kuzuiwa kupewa visa ya kuingia nchini hadi ikabidi aondoke aende Kenya ambako aliingia nchini kupitia Mombasa.
Huyu ndio mnamwita mzalendo? Hakuna jina lingine la kumwita? Eti mtoto wangu mwenye uraia wa marekani bial aibu. Hawa ni sawa na wanawake malaya maana hawana mmiliki halali.
 
Akiwa Marekani akiongea na Watanzania waishio Marekani akisema mtoto wake wa kumzaa aliyezaliwa Marekani na mwenye uraia wa Marekani alisumbuliwa Airport Dar kwa saa sita na kuzuiwa kupewa visa ya kuingia nchini hadi ikabidi aondoke aende Kenya ambako aliingia nchini kupitia Mombasa.
WE MAMA HEBU MSIKILIZE VIZURI HAPA MWAMBA MBOWE AKILI ZIKUKAE SAWA
 
Uhamiaji wanafanya kazi zao kwa mazoea ya kizembe sana, juzi nimeona twitter watalii wamekalishwa uwanja wa ndege muda mrefu bila sababu yoyote ya maana, ajabu kule nje mnatangaza royal tour, kisha wakifika ndani hamjui kuwapokea!.
Unauhakika na hiyo sababu kukosa umaana. Immigration LAZIMA wajiridhishe na documents zako zote.
 
Kumbe watoto zenu wako huko mbele halafu mnawaambia wetu waandamane
Fikira za kijinga hizo. Kama mtoto wake ameamua kuwa raia wa US mnataka Mbowe afanyeje.

Kuna watoto kibao wa vigogo CCM ambao wa au raia wa nchi nyingine ama wanaishi nje kwa sasa. Hao huwa semi wakati wanatudababishia maisha magumu... No water, no electricity wakati watoto wao wanakula raha ughaibuni.
 
Mtoa maada hapa lengo lake ni kufikisha ujumbe ambao wengi hamkumuelewa. Kiufupi mkae mkifahamu hao mnao wapigania siku kikiwaka wanao wa kuwapokwa huko ughaibuni.
Kwanza post yangu sikumjibu mtoa mada...

Pili, tangu lini ikawa dhambi kwa mtu mwenye asili ya Tanzania kuwa na uraia wa nje? Hivi haya mawazo ya ujima mtayaacha lini?

Btw, hivi kwa akili yako unaamini kabisa kwamba ma-CCM yanavyopenda ufisadi, nao wao watoto wao hawana uraia wa nje?!

Don't forget, kwa Sheria za US, mtoto anayezaliwa kwenye ardhi hiyo automatically anapata uraia wa US hata kama mama na baba sio raia wa US.

Sasa unaamini kabisa hawa viongozi wetu ambao hata wakiumwa "mafua" wanaenda kutibiwa Ulaya, lakini wake na binti zao wakiwa wajawazito, wanajifungulia Tanzania?
 
Hivyo sio jambo la kushangaza tumeona hata mtoto wa Rais wa George Weah wakati wa kombe la Dunia akiichezea marekani badala ya taifa la baba yake.
Unaichukukiaje Hali hiyo? Liberia ikishambiliwa mtoto wa Rais wa Liberia hausiki kwenye "drafting"!? Huyo, Weah atatoka wapi guts za kuhimiza wananchi wa nchi hiyo kuwa wazalendo? Dunia siyo kijiji Tena? Ni kijiji kwenye digital lakini kiuhalisia Duniani si kijiji Tena. Tumeyaona kwenye Covid 19 tunayaona kwenye mzozo wa Ukraine na Jirani yake!

Tuamke!
 
Siri zinafichuka, kumbe wenzetu ni wanyamwezi origino😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haya nendeni mkatolewe roho ajili ya wengine
Eti katiba, tuingie rodi, bure kabisa

Kwani Mbowe ni raia wa Marekani? Kwahiyo mtoto wako akiwa raia wa nchi nyingine na ww pia sio raia? Kwa ujinga huu iko siku mtoto wako ataolewa na ww utasema ni mke wa aliyemuoa mto

to wako.
 
Siri zinafichuka, kumbe wenzetu ni wanyamwezi origino[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya nendeni mkatolewe roho ajili ya wengine
Eti katiba, tuingie rodi, bure kabisa
Mimi ni raia wa kuzaliwa wa Tanzania kama ilivyo kwa baba yangu na babu zangu.

Watoto wangu wawili kati ya watano ni raia wa USA kwa kuzaliwa.

Mtoto wangu mmoja ni raia wa Urusi kwa kuzaliwa na mama Mrusi.

Kuna dhambi yoyote nimefanya hapo!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jambo pengine wengine hamfahamu. Ukiwa na mwanao anasoma nje ya Tanzania hasa ulaya na marekani wakati anaingia huko akiwa na miaka chini ya 18 anakuwa minor hibyo yupo kwa uraia wa mama. Akifikisha miaka 18 anauwezo wa kubadili uraia wake. Na watu wengi wamekuwa wakifanya hivyo kwa lengo la kupata favour ya wenyeji mfano unafuu wa ada na utafutaji wa kazi.

Hivyo sio jambo la kushangaza tumeona hata mtoto wa Rais wa George Weah wakati wa kombe la Dunia akiichezea marekani badala ya taifa la baba yake.
Wacha uzwazwa unabishana na Mbowe mwenyewe anaesema ni wa kuzaliwa Marekani. Mimba inataka kufikisha kishindo mama mtoto anaenda kwa J1 visa or any visa ili tu atage kule then arudi. Wanasiasa kibao wanawarubuni huku wao wakitengeneza futures na opportunities za familia zao., The list is long hadi mawaziri wenu na wakuu wengi wa vitengo, akina Mbowe waliwafundisha hadi akina Nassary michezo hiyo. A list is long tusitafutane kushikana mashati humu tukiitoa

Hiyo ya minor ya kusoma usiiongee kama kutufanya sie zwazwa humu. Tunafahamu taratibu na utaratibu sio rahisi kama unavyotaka kuiaminisha nzengo,
 
Mimi ni raia wa kuzaliwa wa Tanzania kama ilivyo kwa baba yangu na babu zangu.

Watoto wangu wawili kati ya watano ni raia wa USA kwa kuzaliwa.

Mtoto wangu mmoja ni raia wa Urusi kwa kuzaliwa na mama Mrusi.

Kuna dhambi yoyote nimefanya hapo!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafyatua tu😂😂😂🤣🤣🤣
Watano wote wa nini?

Hamna kosa wala mimi sijasema hivyo, nilichosema waleteni watoto wenu tuandamane pamojaaaa
 
Back
Top Bottom