Nadhani hii story fupi iko incomplete. Ktk communications skills kuna kitu kinaitwa seven Cs. Ikiwemo completeness. Hii haijakamilika kwa sababu haijasema; kwa nini Uhamiaji wamemnyima VISA! Pili, aliingiaje nchini kupitia Mombasa? Maana bado aliingia Tanzania na issue haikuwa kupita airport bali taratibu. Kwa uchache.... #Malizia story yako. 🙏🙏🙏Akiwa Marekani akiongea na watanzania waishio marekani akisema mtoto wake wa kumzaa aliyezaliwa Marekani na mwenye uraia wa Marekani alisumbuliwa Airport Dar kwa masaa sita na kuzuiwa kupewa visa ya kuingia nchini hadi ikabidi aondoke aende Kenya ambako aliingia nchini kupitia Mombasa