Freeman Mbowe alalamikia Uhamiaji uwanja wa ndege Nyerere kwa kumsumbua Mtoto wake ambaye ni raia wa Marekani kuingia nchini

Freeman Mbowe alalamikia Uhamiaji uwanja wa ndege Nyerere kwa kumsumbua Mtoto wake ambaye ni raia wa Marekani kuingia nchini

Hahaha hivi Dkt Magufuli hana watoto wao si walisherehekea kifp chake. Hata sisi watanzania hakuna kuwasamehe mpaka siku wakija kuomba msamaha kwa hilo jambo. Tena kama mbowe gaidi anapaswa awe jela akisubiri kunyongwa mpaka kufa. Kosa lao kubwa kabisa ndiyo hilo, mbowe gaidi ataendelea kuwa gaidi na hiyo NGO ili ipone inahitaji kubadili uongozi ila chini ya gaidi mbowe nina kuhakikishia hata vyombo vya ulinzi na usalama havina kabisa imani na huyu gaidi kama ilivyo kwa mlamba asali Zitto. Kwa chuki iliyopo juu ya mbowe na genge lake ni kubwa mno na kosa lao ndiyo hilo la kuendelea kusherehekea kifo cha Dkt Magufuli mtu ambaye aliwapenda sana na kuwathaminisha
Tangu ukokitolewe na kikokotoo cha Mbowe na mwisho wake hakukupa mafao yako ya kukokotolewa, una hasira naye balaa.
Pole sana bibie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhamiaji wanafanya kazi zao kwa mazoea ya kizembe sana, juzi nimeona twitter watalii wamekalishwa uwanja wa ndege muda mrefu bila sababu yoyote ya maana, ajabu kule nje mnatangaza royal tour, kisha wakifika ndani hamjui kuwapokea!.
Kuna vigezo lazima ifuatwe hao wazungu ikutehawana kibali kinachowaonyesha kuwa wao ni wazima wakorona
 
Kwani Mbowe ni raia wa Marekani? Kwahiyo mtoto wako akiwa raia wa nchi nyingine na ww pia sio raia? Kwa ujinga huu iko siku mtoto wako ataolewa na ww utasema ni mke wa aliyemuoa mto

to wako.
Duh, sio mchezo
Ok basi waleteni watoto tuandamane pamoja, shida iko wapi?
 
Huyu ndio mnamwita mzalendo? Hakuna jina lingine la kumwita? Eti mtoto wangu mwenye uraia wa marekani bial aibu. Hawa ni sawa na wanawake malaya maana hawana mmiliki halali.
Naanza kuichukia JF kwa sababu imevamiwa na kundi la watu ambao sio dhambi kuwaita wajinga, mmoja wapo ni huyu.
Kwani mtu kuwa na mtoto mwenye uraia wa US kunamkosesha sifa za uzalendo? Ulimwengu huu wa sasa mtu anaweza kuwaza hivyo?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Unafyatua tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watano wote wa nini?

Hamna kosa wala mimi sijasema hivyo, nilichosema waleteni watoto wenu tuandamane pamojaaaa
Nafyatua sababu nina uwezo wa kuwatunza na pia natimiza amri ya "enendeni mkaongezeke muijaze nchi".

Nikimleta mwanangu Mmarekani aje kuandamana,serikali na vyombo vyake vya dola itasema Marekani inaingilia mambo yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeambiwa acheni ushamba kuwa na uraia pacha siyo kitu kipya mbona chama cha mambuzi mnakua hamna akili?
 
Kumbe kuwa na mtoto raia wa Marekani by birth kumeanza kitambo.

Nakumbuka Nasari yeye alitelekeza bunge ili ahakikishe mwanae anazaliwa Marekani.
 
Nafyatua sababu nina uwezo wa kuwatunza na pia natimiza amri ya "enendeni mkaongezeke muijaze nchi".

Nikimleta mwanangu Mmarekani aje kuandamana,serikali na vyombo vyake vya dola itasema Marekani inaingilia mambo yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeongeza na mmoja ukraine combination ingetimia,

Angalau mje nyie wazee tuandamane pamoja
Ili watoto waendeleze mliyochuma
 
Duh, sio mchezo
Ok basi waleteni watoto tuandamane pamoja, shida iko wapi?

Kuandamana ni haki ya kikatiba, au unadhani ni sifa polisi kupiga wananchi wanaoonyesha kutokuridhishwa na wizi wa kura? Kama vipi polisi wenye silaha wakae pembeni kisha akina Mwigulu waje wao na watoto wao kuwazuia CDM. Hapo ndio tutaona mnachojivunia.
 
kuna siku natoka nje ya nchi napi ofisini kwao nawapa pass yangu wananiuliza kwa nini unarudi nchini nilicho wajibu "kwani hii pass ni ya nchi gani"
Ndugu ni juzi hapa nilikumbana na swali la kipimbavu kama hili. Afisa uhamiaji ananiuliza umekuja kufanya nini Tanzania?. Nikiwa namshangaa nikamjibu mimi ni Mbongo....aliishia kunipa Passport yangu kwa hasira.
 
Kuandamana ni haki ya kikatiba, au unadhani ni sifa polisi kupiga wananchi wanaoonyesha kutokuridhishwa na wizi wa kura? Kama vipi polisi wenye silaha wakae pembeni kisha akina Mwigulu waje wao na watoto wao kuwazuia CDM. Hapo ndio tutaona mnachojivunia.
Good, sasa umeelewa nachosema,
Kushindana na mwenye nguvu hata kama una haki ni bure tu
 
Viongozi wetu na watoto wao wanajua kulamba asali daah
 
Back
Top Bottom