residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Tangu ukokitolewe na kikokotoo cha Mbowe na mwisho wake hakukupa mafao yako ya kukokotolewa, una hasira naye balaa.Hahaha hivi Dkt Magufuli hana watoto wao si walisherehekea kifp chake. Hata sisi watanzania hakuna kuwasamehe mpaka siku wakija kuomba msamaha kwa hilo jambo. Tena kama mbowe gaidi anapaswa awe jela akisubiri kunyongwa mpaka kufa. Kosa lao kubwa kabisa ndiyo hilo, mbowe gaidi ataendelea kuwa gaidi na hiyo NGO ili ipone inahitaji kubadili uongozi ila chini ya gaidi mbowe nina kuhakikishia hata vyombo vya ulinzi na usalama havina kabisa imani na huyu gaidi kama ilivyo kwa mlamba asali Zitto. Kwa chuki iliyopo juu ya mbowe na genge lake ni kubwa mno na kosa lao ndiyo hilo la kuendelea kusherehekea kifo cha Dkt Magufuli mtu ambaye aliwapenda sana na kuwathaminisha
Pole sana bibie.
Sent using Jamii Forums mobile app