macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
''Na hili nalo nendeni mkaliangalie''Uwanja wa ndege,machine zote za kuscan passport hazifanyi kazi muda tu....
Passport zote zinakaguliwa manually mzee
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
''Na hili nalo nendeni mkaliangalie''Uwanja wa ndege,machine zote za kuscan passport hazifanyi kazi muda tu....
Passport zote zinakaguliwa manually mzee
Ova
Hata Sugu mwanawe mmarekani
Nadhani hii ni Utamaduni wa Ufipa st
Hapa hujamchanganya Mbowe na mzee Makamba kweli? Halafu hiyo sentensi ya mwisho, fikiri tena.Hahaha hivi Dkt Magufuli hana watoto wao si walisherehekea kifp chake. Hata sisi watanzania hakuna kuwasamehe mpaka siku wakija kuomba msamaha kwa hilo jambo. Tena kama mbowe gaidi anapaswa awe jela akisubiri kunyongwa mpaka kufa. Kosa lao kubwa kabisa ndiyo hilo, mbowe gaidi ataendelea kuwa gaidi na hiyo NGO ili ipone inahitaji kubadili uongozi ila chini ya gaidi mbowe nina kuhakikishia hata vyombo vya ulinzi na usalama havina kabisa imani na huyu gaidi kama ilivyo kwa mlamba asali Zitto. Kwa chuki iliyopo juu ya mbowe na genge lake ni kubwa mno na kosa lao ndiyo hilo la kuendelea kusherehekea kifo cha Dkt Magufuli mtu ambaye aliwapenda sana na kuwathaminisha
Good, sasa umeelewa nachosema,
Kushindana na mwenye nguvu hata kama una haki ni bure tu
Mtoa maada hapa lengo lake ni kufikisha ujumbe ambao wengi hamkumuelewa. Kiufupi mkae mkifahamu hao mnao wapigania siku kikiwaka wanao wa kuwapokwa huko ughaibuni.
Tanzania ins mengi muda ni mchache
Katiba yetu bado haitambui uraia pacha hivyo lazima afuate sheria iliyopo sasa ina uzuri wake pia. Lasivyo wahindi watafaidika sana na uraia pacha na watahamisha resources za nchi yetu bila kizuizi chochote lazima tuwe makini sana na uraia pacha.Kuna jambo pengine wengine hamfahamu. Ukiwa na mwanao anasoma nje ya Tanzania hasa ulaya na marekani wakati anaingia huko akiwa na miaka chini ya 18 anakuwa minor hibyo yupo kwa uraia wa mama. Akifikisha miaka 18 anauwezo wa kubadili uraia wake. Na watu wengi wamekuwa wakifanya hivyo kwa lengo la kupata favour ya wenyeji mfano unafuu wa ada na utafutaji wa kazi.
Hivyo sio jambo la kushangaza tumeona hata mtoto wa Rais wa George Weah wakati wa kombe la Dunia akiichezea marekani badala ya taifa la baba yake.
Kwa hiyo hoja yako ni nini hasa..?Akiwa Marekani akiongea na Watanzania waishio Marekani akisema mtoto wake wa kumzaa aliyezaliwa Marekani na mwenye uraia wa Marekani alisumbuliwa Airport Dar kwa saa sita na kuzuiwa kupewa visa ya kuingia nchini hadi ikabidi aondoke aende Kenya ambako aliingia nchini kupitia Mombasa.
Shangaa na wewe. Kila siku wanatuhamasisha tuingie barabarani sisi watoto wa makapuku, kumbe wao watoto wao wako unyamwezini!Kumbe watoto zenu wako huko mbele halafu mnawaambia wetu waandamane
Vibaraka hawa wanaona fahari watoto wao ni wamarekani ndio wanaotumika kuyumbisha na kuhujumu mataifa yetu. Sasa analalamika nini na mwanae kaja kama mmarekani bila visa?Akiwa Marekani akiongea na Watanzania waishio Marekani akisema mtoto wake wa kumzaa aliyezaliwa Marekani na mwenye uraia wa Marekani alisumbuliwa Airport Dar kwa saa sita na kuzuiwa kupewa visa ya kuingia nchini hadi ikabidi aondoke aende Kenya ambako aliingia nchini kupitia Mombasa.
Huyo story yake inachekesha,alijifanya eti mzalendo akarudi bongo kulisaidia taifa lake kwenye mambo ya kodi,cha kwanza TRA wakampangia kituo cha kazi kigoma huko na huko kigoma akapelekwa wilaya ya kasulu huko..mbona aliondoka kurudi Uingereza mwenyewe bila hata kuaga..nadhani hana hamu na wabongo hadi leo.Kuna yule waziri wa ccm mstaafu tuliambiwa mwanaye ni mfanyakazi wa TRA ya UK. Natumaini siyo raia wa UK hata kama Malkia alimpa zawadi
Unakurupuka na kutoa povu bure bado kitu ni kilekile. Hata ukizaliwa leo US kama baba na mama sio Raia utabakia kuwa na uraia wa mama mpaka 18yrs. Period. Mimi sina shida na mtoto wa Mbowe kuwa au kutokuwa raiaWacha uzwazwa unabishana na Mbowe mwenyewe anaesema ni wa kuzaliwa Marekani. Mimba inataka kufikisha kishindo mama mtoto anaenda kwa J1 visa or any visa ili tu atage kule then arudi. Wanasiasa kibao wanawarubuni huku wao wakitengeneza futures na opportunities za familia zao., The list is long hadi mawaziri wenu na wakuu wengi wa vitengo, akina Mbowe waliwafundisha hadi akina Nassary michezo hiyo. A list is long tusitafutane kushikana mashati humu tukiitoa
Hiyo ya minor ya kusoma usiiongee kama kutufanya sie zwazwa humu. Tunafahamu taratibu na utaratibu sio rahisi kama unavyotaka kuiaminisha nzengo,
Mkuu uraia pacha hapa unatoka wapi? Huyo mtoto amekuja kama raia wa kigeni mwenye asilivyake Tanzania. Sasa kwanini azuiwe wakati alistahili kupewa visa kama wageni wengine. Ni hivyo tuKatiba yetu bado haitambui uraia pacha hivyo lazima afuate sheria iliyopo sasa ina uzuri wake pia. Lasivyo wahindi watafaidika sana na uraia pacha na watahamisha resources za nchi yetu bila kizuizi chochote lazima tuwe makini sana na uraia pacha.
Unauhakika na hiyo sababu kukosa umaana. Immigration LAZIMA wajiridhishe na documents zako zote.