Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hawa ni high class asee.Viongozi wote wa Chadema ni wamarekani.
Duuh, haona hukumwelewa kabisa!!!Kuna jambo pengine wengine hamfahamu. Ukiwa na mwanao anasoma nje ya Tanzania hasa ulaya na marekani wakati anaingia huko akiwa na miaka chini ya 18 anakuwa minor hibyo yupo kwa uraia wa mama. Akifikisha miaka 18 anauwezo wa kubadili uraia wake. Na watu wengi wamekuwa wakifanya hivyo kwa lengo la kupata favour ya wenyeji mfano unafuu wa ada na utafutaji wa kazi.
Hivyo sio jambo la kushangaza tumeona hata mtoto wa Rais wa George Weah wakati wa kombe la Dunia akiichezea marekani badala ya taifa la baba yake.
Si unaona unavyo weka ujinga wako hadharani? We bora ungekuwa mbuzi tukule supu Christmas tuu [emoji1787][emoji1787]we popoma huna lolote
Kwani yeye ndio alikuwa na Mimba?Kumbe kuwa na mtoto raia wa Marekani by birth kumeanza kitambo.
Nakumbuka Nasari yeye alitelekeza bunge ili ahakikishe mwanae anazaliwa Marekani.
Labda kwa vile wazawa wengi hawajitambui. Ona wanaishi kwenye kibano lakini wao wanazitafuta kasoro za wanaojaribu kujitoa kuwapambania huku wakandamizaji wakiwaona mashujaa! Upuuzi kabisa.Kweli hatuna wapinzani wazawa wote wageni
Hivi unawezaje kujiweka kwenye daraja la Mbowe anayewekwa gerezani katika vyumba vya wale condemned kwa miezi minane kwa sababu za kutunga? Anaye Ingia vituo vya polisi mara kwa mara huku kafungwa vitambaa vyeusi machoni lakini akitoka kakomaa tuu kama wakati anaingia? Anaharibiwa mali zake na familia na bado haogopi wala kujinyenyekeza kwa yeyote?Ungeongeza na mmoja ukraine combination ingetimia,
Angalau mje nyie wazee tuandamane pamoja
Ili watoto waendeleze mliyochuma
WE MAMA HEBU MSIKILIZE VIZURI HAPA MWAMBA MBOWE AKILI ZIKUKAE SAWA
Pumbas,Hivi unawezaje kujiweka kwenye daraja la Mbowe anayewekwa gerezani katika vyumba vya wale condemned kwa miezi minane kwa sababu za kutunga? Anaye Ingia vituo vya polisi mara kwa mara huku kafungwa vitambaa vyeusi machoni lakini akitoka kakomaa tuu kama wakati anaingia? Anaharibiwa mali zake na familia na bado haogopi wala kujinyenyekeza kwa yeyote?
Hebu kuweni na adabu basi hata kama makuzi yenu ni ya kishenzi! Sasa hivi vyama mbalimbali duniani vimemtambua kama mtu jasiri asiyeyumbishwa lakini nyie mnayesemewa mmebaki na maneno ya shombo kama mazuzu!
Sasa nimemkumbuka Mama Winnie Mandela, wakati wa kupigania haki za weusi na mumewe akiwa jela alianzisha kikundi cha kuwafyeka vijana wapumbavu vibaraka wa wakandamizaji waliokuwa wanatumika kukatisha tamaa wapambanaji na kusaliti.
Utafika tuu wakati watu wenye akili wa hapa wataenzi tabia ya Winnie au kama ya Mungiki wa Kenya.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Utaratibu gani unaochukua masaa sita airport? Utaratibu gani ilhali tunajua sote kuwa wageni kutoka marekani na nchi nyingi za ulaya huhitaji kuomba visa kabla ya kuwasili nchi tanzania, unaomba visa uwanja wa ndege. Tena hakuna strict rules zozote pale airport unajaza fomu unapeleka kwa uhamijai ambao hata hawasomi ulichokiandika ua kuhakikisha kama umejaza fomu sahihi, wanahesabu pesa na kukupa risiti ukapewe muhuri uingine nchini.Huyo mtoto ni raia wa nchi nyingine inabd afate utaratibu,
Waliambiwa hapakuwepo na watu wa uhamiaji kuwahudumia pasi zao!!!!Uhamiaji wanafanya kazi zao kwa mazoea ya kizembe sana, juzi nimeona twitter watalii wamekalishwa uwanja wa ndege muda mrefu bila sababu yoyote ya maana, ajabu kule nje mnatangaza royal tour, kisha wakifika ndani hamjui kuwapokea!.
Siri zinafichuka, kumbe wenzetu ni wanyamwezi origino😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣K
Haya nendeni mkatolewe roho ajili ya wengine
Eti katiba, tuingie rodi, bure kabisa
Kuna watu wajinga sana humu jukwaani kwenye masuala ya Uraia. Yaani kwa akili yao mtu akizaliwa nje ya Tanzania basi haistahili kuwa raia wa Tanzania. Uraia pacha wao wanaona kama usaliti. Hao hao wakisikia mtu mwenye asili ya Tanzania kafanya vizuri nje wanaofurahia.... Ila hawataki nchini. Very silly...!!Mimi ni raia wa kuzaliwa wa Tanzania kama ilivyo kwa baba yangu na babu zangu.
Watoto wangu wawili kati ya watano ni raia wa USA kwa kuzaliwa.
Mtoto wangu mmoja ni raia wa Urusi kwa kuzaliwa na mama Mrusi.
Kuna dhambi yoyote nimefanya hapo!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana viongozi wa juu wa Chadema sio raia wa nchi hii, vyombo vya dola vichunguzeAkiwa Marekani akiongea na Watanzania waishio Marekani akisema mtoto wake wa kumzaa aliyezaliwa Marekani na mwenye uraia wa Marekani alisumbuliwa Airport Dar kwa saa sita na kuzuiwa kupewa visa ya kuingia nchini hadi ikabidi aondoke aende Kenya ambako aliingia nchini kupitia Mombasa.
Ila lkn kwannn hawa wanasiasa wa kipindi hiki wengi wa watot wao wanawatafutia urai wa marekani kulikoni lknAkiwa Marekani akiongea na Watanzania waishio Marekani akisema mtoto wake wa kumzaa aliyezaliwa Marekani na mwenye uraia wa Marekani alisumbuliwa Airport Dar kwa saa sita na kuzuiwa kupewa visa ya kuingia nchini hadi ikabidi aondoke aende Kenya ambako aliingia nchini kupitia Mombasa.
Uhamiaji ni tawi la CCMUhamiaji wanafanya kazi zao kwa mazoea ya kizembe sana, juzi nimeona twitter watalii wamekalishwa uwanja wa ndege muda mrefu bila sababu yoyote ya maana, ajabu kule nje mnatangaza royal tour, kisha wakifika ndani hamjui kuwapokea!.
Unawasahau Lawrence Masha, Lazaro Nyalandu na Benard Membe hao ni kwa uchache.Viongozi wote wa Chadema ni wamarekani.
Tutajie kifungu cha katiba URT kinachobainisha huu upuuzi ulioandika hapa. vinginevyo wewe ni inzi wa kijaniKuandamana ni haki , ila kundamana bila kufuata sheria ni vurugu