Freeman Mbowe alalamikia Uhamiaji uwanja wa ndege Nyerere kwa kumsumbua Mtoto wake ambaye ni raia wa Marekani kuingia nchini

Freeman Mbowe alalamikia Uhamiaji uwanja wa ndege Nyerere kwa kumsumbua Mtoto wake ambaye ni raia wa Marekani kuingia nchini

Halafu kuna mpumbavu mmoja amezaliwa vichochoroni huko anapambana ili raia wa Marekani wapate ulaji.
 
Kuna jambo pengine wengine hamfahamu. Ukiwa na mwanao anasoma nje ya Tanzania hasa ulaya na marekani wakati anaingia huko akiwa na miaka chini ya 18 anakuwa minor hibyo yupo kwa uraia wa mama. Akifikisha miaka 18 anauwezo wa kubadili uraia wake. Na watu wengi wamekuwa wakifanya hivyo kwa lengo la kupata favour ya wenyeji mfano unafuu wa ada na utafutaji wa kazi.

Hivyo sio jambo la kushangaza tumeona hata mtoto wa Rais wa George Weah wakati wa kombe la Dunia akiichezea marekani badala ya taifa la baba yake.
Duuh, haona hukumwelewa kabisa!!!
 
Kweli hatuna wapinzani wazawa wote wageni
Labda kwa vile wazawa wengi hawajitambui. Ona wanaishi kwenye kibano lakini wao wanazitafuta kasoro za wanaojaribu kujitoa kuwapambania huku wakandamizaji wakiwaona mashujaa! Upuuzi kabisa.

Ni kwavile tuu mimi na mke wangu habari ya kutafuta watoto tumeshaiacha siku nyingi, vinginevyo tungefanya hivyo kwa faida ya hao watoto
 
Ungeongeza na mmoja ukraine combination ingetimia,

Angalau mje nyie wazee tuandamane pamoja
Ili watoto waendeleze mliyochuma
Hivi unawezaje kujiweka kwenye daraja la Mbowe anayewekwa gerezani katika vyumba vya wale condemned kwa miezi minane kwa sababu za kutunga? Anaye Ingia vituo vya polisi mara kwa mara huku kafungwa vitambaa vyeusi machoni lakini akitoka kakomaa tuu kama wakati anaingia? Anaharibiwa mali zake na familia na bado haogopi wala kujinyenyekeza kwa yeyote?

Hebu kuweni na adabu basi hata kama makuzi yenu ni ya kishenzi! Sasa hivi vyama mbalimbali duniani vimemtambua kama mtu jasiri asiyeyumbishwa lakini nyie mnayesemewa mmebaki na maneno ya shombo kama mazuzu!

Sasa nimemkumbuka Mama Winnie Mandela, wakati wa kupigania haki za weusi na mumewe akiwa jela alianzisha kikundi cha kuwafyeka vijana wapumbavu vibaraka wa wakandamizaji waliokuwa wanatumika kukatisha tamaa wapambanaji na kusaliti.

Utafika tuu wakati watu wenye akili wa hapa wataenzi tabia ya Winnie au kama ya Mungiki wa Kenya.
 
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Pumbas,
Matusi tu, hivi mpewe inchi muiendeshe kwa amri na matusi?
Kiboko yenu ni magu tu, ila atakuja mwingine,

Halafu nadhani wewe ndio umekuzwa kishenzi Ndio maana hujitambui
 
Huyo mtoto ni raia wa nchi nyingine inabd afate utaratibu,
Utaratibu gani unaochukua masaa sita airport? Utaratibu gani ilhali tunajua sote kuwa wageni kutoka marekani na nchi nyingi za ulaya huhitaji kuomba visa kabla ya kuwasili nchi tanzania, unaomba visa uwanja wa ndege. Tena hakuna strict rules zozote pale airport unajaza fomu unapeleka kwa uhamijai ambao hata hawasomi ulichokiandika ua kuhakikisha kama umejaza fomu sahihi, wanahesabu pesa na kukupa risiti ukapewe muhuri uingine nchini.

Nasema hayo kwa experience kabisa nilipokuja nchini mwanzo wa mwaka wa 2022 pamoja na wanafunzi wangu wa lugha kutoka hapa UK. Kulikuwa na masuali mengine katika fomu hayaeleweki na katika kuhangaika kwangu kutaka kupata uongozi kuna msafiri mwenzetu mmoja akanishauri tujaze tu tuwezavyo kwani uhamiaji hawaangali in details mnachokiandika.
 
Uhamiaji wanafanya kazi zao kwa mazoea ya kizembe sana, juzi nimeona twitter watalii wamekalishwa uwanja wa ndege muda mrefu bila sababu yoyote ya maana, ajabu kule nje mnatangaza royal tour, kisha wakifika ndani hamjui kuwapokea!.
Waliambiwa hapakuwepo na watu wa uhamiaji kuwahudumia pasi zao!!!!
 
Kw
Siri zinafichuka, kumbe wenzetu ni wanyamwezi origino😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣K
Haya nendeni mkatolewe roho ajili ya wengine
Eti katiba, tuingie rodi, bure kabisa

Kwa wenzetu wengine kuwa na mentality kama hii yako ndio sababu watanzania tutaendela kuwa na hali mbaya ya maisha tukiwaachia wachache walio na ujanja waendelee kuiba serikalini.
 
Mimi ni raia wa kuzaliwa wa Tanzania kama ilivyo kwa baba yangu na babu zangu.

Watoto wangu wawili kati ya watano ni raia wa USA kwa kuzaliwa.

Mtoto wangu mmoja ni raia wa Urusi kwa kuzaliwa na mama Mrusi.

Kuna dhambi yoyote nimefanya hapo!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wajinga sana humu jukwaani kwenye masuala ya Uraia. Yaani kwa akili yao mtu akizaliwa nje ya Tanzania basi haistahili kuwa raia wa Tanzania. Uraia pacha wao wanaona kama usaliti. Hao hao wakisikia mtu mwenye asili ya Tanzania kafanya vizuri nje wanaofurahia.... Ila hawataki nchini. Very silly...!!

Team ya Morocco wachezaji wao karibu wote pamoja na coach wao wanauraia pacha na wako poa wanawakilisha nchi yao.
 
Akiwa Marekani akiongea na Watanzania waishio Marekani akisema mtoto wake wa kumzaa aliyezaliwa Marekani na mwenye uraia wa Marekani alisumbuliwa Airport Dar kwa saa sita na kuzuiwa kupewa visa ya kuingia nchini hadi ikabidi aondoke aende Kenya ambako aliingia nchini kupitia Mombasa.
Inawezekana viongozi wa juu wa Chadema sio raia wa nchi hii, vyombo vya dola vichunguze
 
Akiwa Marekani akiongea na Watanzania waishio Marekani akisema mtoto wake wa kumzaa aliyezaliwa Marekani na mwenye uraia wa Marekani alisumbuliwa Airport Dar kwa saa sita na kuzuiwa kupewa visa ya kuingia nchini hadi ikabidi aondoke aende Kenya ambako aliingia nchini kupitia Mombasa.
Ila lkn kwannn hawa wanasiasa wa kipindi hiki wengi wa watot wao wanawatafutia urai wa marekani kulikoni lkn

Lisu watot wake wote ni rai wa kule
Leo mbowe

Kina mwigulu na kinanape nao hatuwajui wakwao

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Uhamiaji wanafanya kazi zao kwa mazoea ya kizembe sana, juzi nimeona twitter watalii wamekalishwa uwanja wa ndege muda mrefu bila sababu yoyote ya maana, ajabu kule nje mnatangaza royal tour, kisha wakifika ndani hamjui kuwapokea!.
Uhamiaji ni tawi la CCM
 
Mheshimiwa Freeman Mbowe akitoa hutuba alivyokuwa nchini Amerika.

Viongozi wote wa Chadema ni wamarekani.
Unawasahau Lawrence Masha, Lazaro Nyalandu na Benard Membe hao ni kwa uchache.

Mama naye hayuko nyuma alikwenda kumsalimu Mjomba wake Oman, na Mjomba ndio mama.
 
Back
Top Bottom