Freeman Mbowe alisema kuwa mwaka 2023 anang'atuka. Mbona kimya?

the gentlemen is there to stay and nothing can be done or happen to him at a moment
 
Ndugu wakili,kwani wewe ni wakili wa shetani yupi,ni yule wa chukua chako mapema au mwingine, mbona unahangaika na ambayo sii yako wala ya kundi lako🤔
 
Ndugu wakili,kwani wewe ni wakili wa shetani yupi,ni yule wa chukua chako mapema au mwingine, mbona unahangaika na ambayo sii yako wala ya kundi lako🤔
Shetani maana yake mpinzani. Mimi ni wakili wa wapinzani.
 
Ccm bado wanaitawala nchi hii kwa zaidi ya 60yrs, ila bado Singida kuna umasikini mkubwa!,na wale maadui waliotajwa na awamu ya kwanza ,yaani ujinga, umasikini, maradhi bado wametamalaki mno na sasa wamempata cousin wao anayeitwa RUSHWA, huku Nyalamatata pamoja na kushinda kuwa kijiji bora cha mkoa, bado umeme na maji salama ni shida, kama unaona haki yako inakinzwa push back,usimtegemee mtu mwingine akupiganie
 
Pole ndugu,kwani yaweza kuwa ni wakili wa chukua chako mapema, ila upo kuwaangamiza wasioamini katika chukua chako mapema na urefu wa kamba😁
Kwa kwa mwenendo unaoonyeshwa wote ni chukua chako mapema, wote ni waumini wa kula kwa urefu wa kamba.
 
Wewe Chadema ina kuhusu nini
Nikiwa kama mpenda nchi hii inanihusu. Natamani kuona upinzani wenye mawazo mapya, wenye pinu mpya na maadili mapya. Upinzani tunaoweza kuutegemea kama mbadala wa CCM. Lakini kwa nyie mliozoea siasa za ushabiki hili haliwezi kuwaingia akilini.
 
Chama cha mapinduzi kimeshapata katibu huko??tafuteni kwanza katibu mengine yatafuatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…