Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana ndio mtindo wa maisha na wote wana hasira kuu dhidi ya huu mfumo mfu wa hadaa na kijambazi 🙄Kwa kwa mwenendo unaoonyeshwa wote ni chukua chako mapema, wote ni waumini wa kula kwa urefu wa kamba.
Ndiyo nasubiri hizi siku tatu, ila kimya kizito, hakuna dalili.Mbona mwaka haujaisha mkuu, vuta subira
Wapinzani nao hawaonyeshi matumaini yoyote ya kwamba ni tofauti.Kijana ndio mtindo wa maisha na wote wana hasira kuu dhidi ya huu mfumo mfu wa hadaa na kijambazi 🙄
Niliwahi andika hili. Naomba niandike tean. Mheshimiwa huyu anatimiza ahadi yake lini? Pamoja na kwamba aliahidi mwenyewe hata hivyo upinzani unahitaji nguvu na mawazo ya mwenyekiti mwingine. Bahati nzuri akawa ameona hilo yeye mwenyewe na kuahidi kung'atuka mwaka huu 2023. Sasa anang'atuka lini?
View: https://youtu.be/dFOSSdmVGZc?si=fSnhNjugO2BAlZTB