johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yeriko na Ntobi!πππImeelezwa kuwa mwenyekiti wa chadema mh Mbowe alikuwa tayari kushiriki Mdahalo ila Ntobi na Yericko Nyerere ambao ni Mameneja wake wamemzuia
Ntobi amesema hiki ni Kipindi Cha kutafuta KURA na siyo kufanya Mdahalo na kwamba kanuni za kidunia zinazuia Wagombea kufanya Mdahalo Saa 72 kabla ya Uchaguzi
Mbatizaji nikiwa Dodoma π
Hawa pimbi ndiyo washauri wa Sultan MboweImeelezwa kuwa mwenyekiti wa chadema mh Mbowe alikuwa tayari kushiriki Mdahalo ila Ntobi na Yericko Nyerere ambao ni Mameneja wake wamemzuia
Ntobi amesema hiki ni Kipindi Cha kutafuta KURA na siyo kufanya Mdahalo na kwamba kanuni za kidunia zinazuia Wagombea kufanya Mdahalo Saa 72 kabla ya Uchaguzi
Mbatizaji nikiwa Dodoma π
#Kidumu chama cha MapinduziImeelezwa kuwa mwenyekiti wa chadema mh Mbowe alikuwa tayari kushiriki Mdahalo ila Ntobi na Yericko Nyerere ambao ni Mameneja wake wamemzuia
Ntobi amesema hiki ni Kipindi Cha kutafuta KURA na siyo kufanya Mdahalo na kwamba kanuni za kidunia zinazuia Wagombea kufanya Mdahalo Saa 72 kabla ya Uchaguzi
Mbatizaji nikiwa Dodoma π
Umekaa sebuleni kwa shemeji unajitungia stori, hivi kilo ya nyama ya mbwa iringa ina bei gani!?Imeelezwa kuwa mwenyekiti wa chadema mh Mbowe alikuwa tayari kushiriki Mdahalo ila Ntobi na Yericko Nyerere ambao ni Mameneja wake wamemzuia
Ntobi amesema hiki ni Kipindi Cha kutafuta KURA na siyo kufanya Mdahalo na kwamba kanuni za kidunia zinazuia Wagombea kufanya Mdahalo Saa 72 kabla ya Uchaguzi
Mbatizaji nikiwa Dodoma π
Imeelezwa kuwa mwenyekiti wa chadema mh Mbowe alikuwa tayari kushiriki Mdahalo ila Ntobi na Yericko Nyerere ambao ni Mameneja wake wamemzuia
Ntobi amesema hiki ni Kipindi Cha kutafuta KURA na siyo kufanya Mdahalo na kwamba kanuni za kidunia zinazuia Wagombea kufanya Mdahalo Saa 72 kabla ya Uchaguzi
Mbatizaji nikiwa Dodoma π
Kwanini hawakumwambia tangu mdahalo unaandaliwa?Imeelezwa kuwa mwenyekiti wa chadema mh Mbowe alikuwa tayari kushiriki Mdahalo ila Ntobi na Yericko Nyerere ambao ni Mameneja wake wamemzuia
Ntobi amesema hiki ni Kipindi Cha kutafuta KURA na siyo kufanya Mdahalo na kwamba kanuni za kidunia zinazuia Wagombea kufanya Mdahalo Saa 72 kabla ya Uchaguzi
Mbatizaji nikiwa Dodoma π
Mbwa wanakula WanaumeUmekaa sebuleni kwa shemeji unajitungia stori, hivi kilo ya nyama ya mbwa iringa ina bei gani!?
Maaskofu Watatu na Mufti siyo watu?Tuache uongo uongo Mbowe asikilizi mtu