Freeman Mbowe alitaka kushiriki Mdahalo ila Ntobi na Yeriko Nyerere wamemzuia Kwa Madai Duniani kote Mdahalo haufanywi saa 72 kabla ya uchaguzi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Imeelezwa kuwa mwenyekiti wa chadema mh Mbowe alikuwa tayari kushiriki Mdahalo ila Ntobi na Yericko Nyerere ambao ni Mameneja wake wamemzuia

Ntobi amesema hiki ni Kipindi Cha kutafuta KURA na siyo kufanya Mdahalo na kwamba kanuni za kidunia zinazuia Wagombea kufanya Mdahalo Saa 72 kabla ya Uchaguzi

Mbatizaji nikiwa Dodoma 😂
 
Screenshot_20250112-141523_1.jpg
 
Yeriko na Ntobi!😭😭😭
 
Hawa pimbi ndiyo washauri wa Sultan Mbowe
 
Attachments

  • GgorHp4XUAAE0_u.jpeg
    GgorHp4XUAAE0_u.jpeg
    51.3 KB · Views: 2
  • GfMNLpyXYAA8ucg.jpeg
    GfMNLpyXYAA8ucg.jpeg
    58.9 KB · Views: 2
Mnyika alisema juzi, mdahalo sio utaratibu wa chama, ni utaratibu binafsi wa chombo chochote kitakachoandaa, ili miradi wasiongilie ratiba za uchaguzi
 
The fact kwamba hao migambo ndio washauri wake, hastahili kabisa kuendelea kuwa mwenyekiti.
 
Imeelezwa kuwa mwenyekiti wa chadema mh Mbowe alikuwa tayari kushiriki Mdahalo ila Ntobi na Yericko Nyerere ambao ni Mameneja wake wamemzuia

Ntobi amesema hiki ni Kipindi Cha kutafuta KURA na siyo kufanya Mdahalo na kwamba kanuni za kidunia zinazuia Wagombea kufanya Mdahalo Saa 72 kabla ya Uchaguzi

Mbatizaji nikiwa Dodoma 😂
#Kidumu chama cha Mapinduzi
 
Umekaa sebuleni kwa shemeji unajitungia stori, hivi kilo ya nyama ya mbwa iringa ina bei gani!?
 
Imeelezwa kuwa mwenyekiti wa chadema mh Mbowe alikuwa tayari kushiriki Mdahalo ila Ntobi na Yericko Nyerere ambao ni Mameneja wake wamemzuia

Ntobi amesema hiki ni Kipindi Cha kutafuta KURA na siyo kufanya Mdahalo na kwamba kanuni za kidunia zinazuia Wagombea kufanya Mdahalo Saa 72 kabla ya Uchaguzi

Mbatizaji nikiwa Dodoma 😂

Tuache uongo uongo Mbowe asikilizi mtu
 
Imeelezwa kuwa mwenyekiti wa chadema mh Mbowe alikuwa tayari kushiriki Mdahalo ila Ntobi na Yericko Nyerere ambao ni Mameneja wake wamemzuia

Ntobi amesema hiki ni Kipindi Cha kutafuta KURA na siyo kufanya Mdahalo na kwamba kanuni za kidunia zinazuia Wagombea kufanya Mdahalo Saa 72 kabla ya Uchaguzi

Mbatizaji nikiwa Dodoma 😂
Kwanini hawakumwambia tangu mdahalo unaandaliwa?
Kwanini ametumia ushauri wa chawa wake badala ya waandaaji?
 
Back
Top Bottom