Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Mimi ni mfuasi mkubwa wa CHADEMA, lakini sipendi kuona chama kinachafuka kwa tamaa za watu wachache.Usilete mambo ya vijiweni. Mbowe ni mwenyekiti tu wa CHADEMA na siyo CHADEMA.
Usilete makorokoro ya mambo ya Abdul na mama yake kwenye hoja nyingine. Kama unaona sawa watu waibe hela za umma na kutumia hela hizo kuhonga watu, hilo ni tatizo lako na siyo la kila mtu.