Pre GE2025 Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi ni mfuasi mkubwa wa CHADEMA, lakini sipendi kuona chama kinachafuka kwa tamaa za watu wachache.
 
Kumsema mbowe hadharani ni sawa na kuisema CHADEMA hadharani, hoja za msigwa zijibiwe kwa hoja na sio kuendekeza ushabiki wa hisia za kisiasa.
 
Concern yako hapa ni nini?
 
So ni kweli JPM alikuwa akiwanyima haki wakosoaji wake?
 
Kumsema mbowe hadharani ni sawa na kuisema CHADEMA hadharani, hoja za msigwa zijibiwe kwa hoja na sio kuendekeza ushabiki wa hisia za kisiasa.
Ndiyo zinakwenda kujibiwa mahakamani. Ili kama ni kweli umma wa watanzania ujue.
 
Hizo si ndiyo lugha tulizoziwea?

Hujawahi kusikia kuburuzwa mahakamani kukitumika kama kitisho?
Sasa mwanaccm atishike na kuburuzwa mahakamani na Mpinzani ilhali anao ushahidi?
 
Huyo Abdul wewe unamjua? Mbona anatuhumiwa kuhonga watu halafu wewe unaona ni sawa tu.
Wapi nimesema ni sawa?

Nimesema siku Lissu akitoa ile orodha ya waliokula pesa za Abduli ndyo tutajua wasaliti ni akina nani.
 
Mahakamani sio sehemu sahihi ya kujibu hizo hoja, Mnyika na ofisi yake ndyo wanapaswa kujibu hoja za msigwa na hoja za Lissu.
Lissu hana lolote ila kasema (na ndiyo sahihi) kuwa hoja za fedha zinapaswa kujibiwa na Katibi Mkuu. Msigwa yeye anasema hizo hela zinaliwa na Mbowe.

Angejibu Katibu Mkuu mngesema kuwa kajibu kisiasa kumtetea Mbowe. Sasa mahakamani Msigwa alete ushahidi anaodai anao.
 
Una akili ili nikufafanulie? Maana nimeeleza vya kutosha
Una bias so endelea kupambania upande uliopo acha kupandikiza mihemko yako kwenye vichwa vya wengine! Ikiwa adui yako anaelekea kuanguka kinachokuuma nini?
 
actually hakuna kesi pale just kudraw public tension tu baada ya kiki za sijui utekaji kubumba, na kama kesi za deformations alipaswa afunguliwe mbowe kwa kuwahadaa wananchi na kusingizia Jeshi la police na serikali sikivu ya CCM kwa uzushi na uongo 🐒
 
Wapi nimesema ni sawa?

Nimesema siku Lissu akitoa ile orodha ya waliokula pesa za Abduli ndyo tutajua wasaliti ni akina nani.
Yaani nyie watu ni ajabu sana. Badala ya kupambana kumjua huyo Abdul ni nani mnangoja orodha ya waliotaka kupewa hela na Abdul. Huyo Abdul kwani ni nani?
 
Lissu anajua mengi kuliko hata huyo msigwa, na alianza kukemea hayo mambo kabla hata msigwa hajahamia mbogamboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…