Yana ukweli gani? Au labda alinyofoa nyaraka za kiofisi ambalo ni kosa lingine pia…haya mambo ya kupayuka payuka sio poa, ilikuwa Hivyo Kwa Kinana mwishowe Aibu…Kwanini unataka aombe msamaha wakati hujui hayo madai yake kama yana ukweli
1 Kwamba anaiba pesa za chama kwa kutumia Mbowe Foundation
2. Amegeuza chama kuwa SACCOS yake
3. Chadema digital inamilikiwa na Mbowe kwa manufaa yake
My take: hilo nililitegemea and that is the right way to go!
=====
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amempa siku tano aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyassa, Mchungaji Peter Msigwa, kuomba radhi, asipfanya hivyo ajiandae kulipa kulipa fidia ya shilingi bilioni 5 Mahakamani kutokana na madai ya kumkashifu na kuharibu chapa yake kutokana na matamshi ya Msigwa yaliyotolewa hadharani baada ya kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Katika barua (notisi ya madai) iliyotolewa Septemba 2, 2024 ikiwa na sahihi ya tarehe 4 Septemba, 2024, mawakili wa Mbowe ambao ni Hekima Mwasipu na wenzake kutoka Matwiga Law Chambers, Msigwa anadaiwa kutoa matamshi ya uongo na kumchafua Mbowe mbele ya umma.
“Msigwa alitumia majukwaa ya mikutano, vyombo vya habari, na hata mitandao ya kijamii kutoa madai ya kumkashifu mteja wetu,” ameleza Wakili Mwasipu.
Imeelezwa kuwa Msigwa alidai kuwa Mbowe ameanzisha "Mbowe Foundation," na anatumia chama cha CHADEMA kwa manufaa yake binafsi. Katika moja ya mikutano yake, Msigwa alinukuliwa akisema, "Mwenyekiti wa CHADEMA amegeuza chama kuwa SACCOS, fedha za chama zinaishia kwenye taasisi binafsi na si kwenye akaunti za chama.”
Mawakili wa Mbowe wameeleza kuwa matamshi hayo yameathiri sifa ya Mbowe ndani na nje ya Tanzania, hasa kutokana na nafasi zake mbalimbali kimataifa, ikiwa ni pamoja na kuwa Naibu Mwenyekiti wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia vya Afrika (DUA).
“Mteja wetu anaona maneno yote yanayozungumzwa na kunukuliwa hapo juu katika maana yake ya asili, muktadha na misemo kuwa ni kashfa, dharau na kudhuru sio tu sifa yake binafsi bali pia kwa familia yake yote, marafiki, taaluma (Siasa), Jumuiya ya Biashara, Jumuiya ya Kidini, marafiki na rika. Maneno haya si chochote lakini ushahidi dhahiri wa nia mbaya dhidi ya mteja wetu”, imeelezwa na mawakili.
Mbali na hilo, Msigwa alidai kuwa CHADEMA Digital ambayo ni huduma ya usajili wa wanachama, inamilikiwa na kampuni binafsi na kwamba Mbowe anatumia fedha za chama kwa manufaa binafsi.
“Hali hii imeleta hasara kubwa kwa mteja wetu kwani sifa yake ya kiongozi wa kisiasa, mfanyabiashara na mwanafamilia imeathirika sana,” alisema Mwasipu.
Kwa mujibu wa notisi hiyo, Msigwa anatakiwa kuomba radhi kupitia machapisho katika magazeti mawili; moja lenye kuweza kufikia nchi nzima na lingine ambalo linaweza kuwafikia watu walau wa kanda, na kulipa fidia ya Shilingi bilioni 5, la sivyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa.
Pia soma
View attachment 3088571View attachment 3088572View attachment 3088573View attachment 3088574View attachment 3088575View attachment 3088576View attachment 3088577
- Freeman Mbowe amdai Mchungaji Peter Msigwa bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafulia jina lake
- Peter Msigwa: Msajili wachunguze CHADEMA, wana vikundi vinaitwa ZOO na JOB. Mbowe ni Nkurunziza
- Mchungaji Msigwa: Nitazunguka Nchi nzima kuelezea Uongo wa CHADEMA
- Mchungaji Msigwa: Mbowe siyo Msakata Rhumba maarufu ndio sababu hadi sasa bado yuko Jukwaani japo muda umeisha!
- Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini
- Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi
Msigwa kesi hii itamlamba (vijana wa mjini wanasema) , atashindwa kwa sababu report za CAG ziaonesha financial management ya chadema haina shida ndiyo maana wanapata hati safi!Tatizo la uchawa ni kuropoka ropoka sasa kashikwa pabaya alete ushahidi wa wazi, aombe radhi au alipe hii ni loose, loose situation
Msigwa anadata akajibu mahakamani ,ccm waliogopa kumpeleka LISu mahakamani enzi za lowasa alipotamkwa mana walikuwa na ushahidi kwasasa msigwa nae akajibu akamwage ugali mahakamaniMahakamani sio sehemu sahihi ya kujibu hizo hoja, Mnyika na ofisi yake ndyo wanapaswa kujibu hoja za msigwa na hoja za Lissu.
Kati ya wachungaji wa hovyo ni huyo jamaa. Dini zote zinafundisha kutosingizia,kutosema uongo,kuheshimu wenzako nk. Hilo kwake halipo.mambo ya aibu kabisa. Msigwa amemuandama Mboe sana. kwa hilo namuunga mkono Mbowe.
Hata wewe mpeleke silazima iwe polisi peleka kwaniaba ya jeshi la polisikama ni deformations Mbowe mwenyewe ndio alipaswa kupelekwa mahakamani KWA kuwahadaa wananchi na ndugu waliopotelewa na jamaa zao kwamba yeye anajua walipo na mpaka leo hajawaonyesha ndugu zao, akaishia kusingizia polisi na serikali dah...
Baada ya ile kiki kubumba ndio kaibuka na hili ambalo credit zote zinamuendea Tundu Antipas Lisu 🐒
Akiweza kuwasilisha ushahidi mahakamani basi hata wanachama wa CHADEMA watapata mwanga kuhusu hali halisi ya mambo ambayo yanahitaji ufafanuzi wa kina.Msigwa anadata akajibu mahakamani ,ccm waliogopa kumpeleka LISu mahakamani enzi za lowasa alipotamkwa mana walikuwa na ushahidi kwasasa msigwa nae akajibu akamwage ugali mahakamani
Msigwa ni mbunge, kosakosa DC.Sio wote lakini
Unadhani hawa waliotoka CDM na kuhamia kule unadhani watapitishwa kugombea Ubunge mwakani 2025?
We subiri ujionee
Majibu ndo hayoLakini Lisu alishasema hoja za msigwa zijibiwe.
Kero ya Msigwa ndiyo kero ya wanachama waandamizi lieleweke hivyo, ni tunavumiliana tu.Mahakama inaenda kusikiliza madai ya Mwenyekiti kwamba amechafuliwa.
Hoja za msigwa zinapaswa kujibiwa na chama kupitia katibu mkuu kama ambavyo Lissu alipendekeza.
kwahiyo?Msigwa ni mbunge, kosakosa DC.
Angalia akina Kafulila wametulia kabisa!kwahiyo?
Hivi Mbowe anaposema anataka alipwe billion tano anamaanisha au ndio ile kauli kuwa mwansiasa akiuambia ni saa mbili usiku toka nje ukathibishe. Anyway wacha Waarabu wa Pemba wapambane wenyewe. Kwa sababu wanajuana kwa vilemba1 Kwamba anaiba pesa za chama kwa kutumia Mbowe Foundation
2. Amegeuza chama kuwa SACCOS yake
3. Chadema digital inamilikiwa na Mbowe kwa manufaa yake
My take: hilo nililitegemea and that is the right way to go!
=====
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amempa siku tano aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyassa, Mchungaji Peter Msigwa, kuomba radhi, asipfanya hivyo ajiandae kulipa kulipa fidia ya shilingi bilioni 5 Mahakamani kutokana na madai ya kumkashifu na kuharibu chapa yake kutokana na matamshi ya Msigwa yaliyotolewa hadharani baada ya kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Katika barua (notisi ya madai) iliyotolewa Septemba 2, 2024 ikiwa na sahihi ya tarehe 4 Septemba, 2024, mawakili wa Mbowe ambao ni Hekima Mwasipu na wenzake kutoka Matwiga Law Chambers, Msigwa anadaiwa kutoa matamshi ya uongo na kumchafua Mbowe mbele ya umma.
“Msigwa alitumia majukwaa ya mikutano, vyombo vya habari, na hata mitandao ya kijamii kutoa madai ya kumkashifu mteja wetu,” ameleza Wakili Mwasipu.
Imeelezwa kuwa Msigwa alidai kuwa Mbowe ameanzisha "Mbowe Foundation," na anatumia chama cha CHADEMA kwa manufaa yake binafsi. Katika moja ya mikutano yake, Msigwa alinukuliwa akisema, "Mwenyekiti wa CHADEMA amegeuza chama kuwa SACCOS, fedha za chama zinaishia kwenye taasisi binafsi na si kwenye akaunti za chama.”
Mawakili wa Mbowe wameeleza kuwa matamshi hayo yameathiri sifa ya Mbowe ndani na nje ya Tanzania, hasa kutokana na nafasi zake mbalimbali kimataifa, ikiwa ni pamoja na kuwa Naibu Mwenyekiti wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia vya Afrika (DUA).
“Mteja wetu anaona maneno yote yanayozungumzwa na kunukuliwa hapo juu katika maana yake ya asili, muktadha na misemo kuwa ni kashfa, dharau na kudhuru sio tu sifa yake binafsi bali pia kwa familia yake yote, marafiki, taaluma (Siasa), Jumuiya ya Biashara, Jumuiya ya Kidini, marafiki na rika. Maneno haya si chochote lakini ushahidi dhahiri wa nia mbaya dhidi ya mteja wetu”, imeelezwa na mawakili.
Mbali na hilo, Msigwa alidai kuwa CHADEMA Digital ambayo ni huduma ya usajili wa wanachama, inamilikiwa na kampuni binafsi na kwamba Mbowe anatumia fedha za chama kwa manufaa binafsi.
“Hali hii imeleta hasara kubwa kwa mteja wetu kwani sifa yake ya kiongozi wa kisiasa, mfanyabiashara na mwanafamilia imeathirika sana,” alisema Mwasipu.
Kwa mujibu wa notisi hiyo, Msigwa anatakiwa kuomba radhi kupitia machapisho katika magazeti mawili; moja lenye kuweza kufikia nchi nzima na lingine ambalo linaweza kuwafikia watu walau wa kanda, na kulipa fidia ya Shilingi bilioni 5, la sivyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa.
Pia soma
View attachment 3088571View attachment 3088572View attachment 3088573View attachment 3088574View attachment 3088575View attachment 3088576View attachment 3088577
- Freeman Mbowe amdai Mchungaji Peter Msigwa bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafulia jina lake
- Peter Msigwa: Msajili wachunguze CHADEMA, wana vikundi vinaitwa ZOO na JOB. Mbowe ni Nkurunziza
- Mchungaji Msigwa: Nitazunguka Nchi nzima kuelezea Uongo wa CHADEMA
- Mchungaji Msigwa: Mbowe siyo Msakata Rhumba maarufu ndio sababu hadi sasa bado yuko Jukwaani japo muda umeisha!
- Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini
- Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi
Sahihi kabisa, wengine wanalitizama hili jambo kishabiki lakini mwanachama wa kweli anaelewa hali halisiKero ya Msigwa ndiyo kero ya wanachama waandamizi lieleweke hivyo, ni tunavumiliana tu.
Hizo ni kazi kama kazi zingine ilimradi wote tunaenda chooni.kuanzia mfagiaji hadi mkurugenzi.jambo la msingi ni je umetumiaje nafasi uliyokua nayo kuwasaidia wanyonge na maskini wa nchi yako.ila kwakua wewe unawaza ubinafsi basi unaona huo ubunge au U dc ni bonge ya dili.Angalia akina Kafulila wametulia kabisa!
kapuuzwa kama atakavyopuzwaa mahakamani tu🐒Hata wewe mpeleke silazima iwe polisi peleka kwaniaba ya jeshi la polisi