- Thread starter
- #21
One way to answer them is through the court of Law. Majibu sahihi yatapatikanaLakini Lisu alishasema hoja za msigwa zijibiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
One way to answer them is through the court of Law. Majibu sahihi yatapatikanaLakini Lisu alishasema hoja za msigwa zijibiwe.
Alisema watoe majibu ndani ya chama, wajibu hoja za msigwa kwa kutoa ufafanuzi wa matumizi ya mali za chama.One way to answer them is through the court of Law. Majibu sahihi yatapatikana
Tajiri Freeman Mbowe amekomaa na hana roho mbaya wala mentality za kimasikini ndio maana amempa nafasi ya kuomba msamaha.Ingependeza iwapo angeenda Mahakamani kumshataki kabisa badala ya kutoa hilo agizo lake kiSiasa.
Manake hajatoa maelekezo kwamba huo msamaha aombe Kwa njia ipi
Lakini pia hizo 5B anazomdai zilipwe Kwa muda gani
Dah😅😅😅😅😅CCM ukimtaja Mbowe unalipwa posho mara mbili ya wenzako
Kaingia 18 mbowe, hivi Chadema wakifunguliwa Kesi za kuwaita maneno machafu watu wa CCM Kuna ataepona?1 Kwamba anaiba pesa za chama kwa kutumia Mbowe Foundation
2. Amegeuza chama kuwa SACCOS yake
3. Chadema digital inamilikiwa na Mbowe kwa manufaa yake
My take: hilo nililitegemea and that is the right way to go!
----
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amempa siku tano aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyassa, Mchungaji Peter Msigwa, kuomba radhi na kulipa fidia ya shilingi bilioni 5 kutokana na madai ya kumkashifu na kuharibu chapa yake kutokana na matamshi ya Msigwa yaliyotolewa hadharani baada ya kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Katika barua (notisi ya madai) iliyotolewa Septemba 2, 2024 ikiwa na sahihi ya tarehe 4 Septemba, 2024, mawakili wa Mbowe ambao ni Hekima Mwasipu na wenzake kutoka Matwiga Law Chambers, Msigwa anadaiwa kutoa matamshi ya uongo na kumchafua Mbowe mbele ya umma.
“Msigwa alitumia majukwaa ya mikutano, vyombo vya habari, na hata mitandao ya kijamii kutoa madai ya kumkashifu mteja wetu,” ameleza Wakili Mwasipu.
Imeelezwa kuwa Msigwa alidai kuwa Mbowe ameanzisha "Mbowe Foundation," na anatumia chama cha CHADEMA kwa manufaa yake binafsi. Katika moja ya mikutano yake, Msigwa alinukuliwa akisema, "Mwenyekiti wa CHADEMA amegeuza chama kuwa SACCOS, fedha za chama zinaishia kwenye taasisi binafsi na si kwenye akaunti za chama.”
Mawakili wa Mbowe wameeleza kuwa matamshi hayo yameathiri sifa ya Mbowe ndani na nje ya Tanzania, hasa kutokana na nafasi zake mbalimbali kimataifa, ikiwa ni pamoja na kuwa Naibu Mwenyekiti wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia vya Afrika (DUA).
“Mteja wetu anaona maneno yote yanayozungumzwa na kunukuliwa hapo juu katika maana yake ya asili, muktadha na misemo kuwa ni kashfa, dharau na kudhuru sio tu sifa yake binafsi bali pia kwa familia yake yote, marafiki, taaluma (Siasa), Jumuiya ya Biashara, Jumuiya ya Kidini, marafiki na rika. Maneno haya si chochote lakini ushahidi dhahiri wa nia mbaya dhidi ya mteja wetu”, imeelezwa na mawakili.
Mbali na hilo, Msigwa alidai kuwa CHADEMA Digital ambayo ni huduma ya usajili wa wanachama, inamilikiwa na kampuni binafsi na kwamba Mbowe anatumia fedha za chama kwa manufaa binafsi.
“Hali hii imeleta hasara kubwa kwa mteja wetu kwani sifa yake ya kiongozi wa kisiasa, mfanyabiashara na mwanafamilia imeathirika sana,” alisema Mwasipu.
Kwa mujibu wa notisi hiyo, Msigwa anatakiwa kuomba radhi kupitia machapisho katika magazeti mawili; moja lenye kuweza kufikia nchi nzima na lingine ambalo linaweza kuwafikia watu walau wa kanda, na kulipa fidia ya Shilingi bilioni 5, la sivyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa.
View attachment 3088476View attachment 3088473View attachment 3088474View attachment 3088475
1 Kwamba anaiba pesa za chama kwa kutumia Mbowe Foundation

Pia soma
- Freeman Mbowe amdai Mchungaji Peter Msigwa bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafulia jina lake
- Kuelekea 2025 - Peter Msigwa: Msajili wachunguze CHADEMA, wana vikundi vinaitwa ZOO na JOB. Mbowe ni Nkurunziza
- Mchungaji Msigwa: Nitazunguka Nchi nzima kuelezea Uongo wa CHADEMA
- Mchungaji Msigwa: Mbowe siyo Msakata Rhumba maarufu ndio sababu hadi sasa bado yuko Jukwaani japo muda umeisha!
- Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini
View attachment 3088476View attachment 3088473View attachment 3088474View attachment 3088475
Pi
Sasa analia nini huyu tumbili sponsor wake Abduli yupo atamsaidia kulipaKudadadadeq
Hizo roho wanazo wachache sana hii BongoTajiri Freeman Mbowe amekomaa na hana roho mbaya wala mentality za kimasikini ndio maana amempa nafasi ya kuomba msamaha.
Msigwa njaa inamsumbua bado anaishi kwa kuchumia tumbo.
Kama amenunuliwa ni wazi hana uwezo wa kulipa fidia.
Ha ha 😂 😂 😂 jopo la mawakiliHekima Mwasipu na wenzake kutoka Matwiga Law chambers
Unaniambia mwizi halafu nikuache? Utakuwa jinga la kutupa! Wezi wanapigwa petrol, hivyo unataka na yeye apigwe petroli? Msigwa atafilisiwa.Mbowe kama kuambiwa ukweli kidogo tu anakimbilia mahakamani badala ajibu hoja na kujisafisha je siku akiwa Rais ataweza kuvumilia maneno? Au ndo atapeleka kila mwananchi mahakamani na ikiwezekana kuwa mtekaji pia