Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara yako ya mwisho kusikiliza report ya CAG ni lini ndugu chawa?Wizi ni jinai kama ipo pelekeni mahakamani siyo mnatumia maneno ya kimalaya malaya tu kuchafua watu, Chadema inakaguliwa na CAG na hakuna mwaka ilipata hati chafu. Huyo tumbili Msigwa ameyakanyaga.
Chawa ni wewe unayeishi kwa matumaini ya kutupiwa makombo toka meza kuu.Mara yako ya mwisho kusikiliza report ya CAG ni lini ndugu chawa?
Hiyo inaitwa, back fire, similarly fireworks 🔥Hivi kwa mfano ikatokea kesi na msigwa akafanikiwa kuja na ushahidi uliojitosheleza??
Tuiachie mahakama, tuvuke daraja pale tunapolifikia.Hivi kwa mfano ikatokea kesi na msigwa akafanikiwa kuja na ushahidi uliojitosheleza??
Maana yangu hapa ni kuwa mambo mengine huwa ni ya kupuuzia tu.Tuiachie mahakama, tuvuke daraja pale tunapolifikia.
Msigwa alikuwa within the system, tena nadhani chadema inakusudia kujivua nguo kabisa, mtu aliyekuwepo ndani ya mfumo, ni kumuacha tu, atachoka mwenyewe,!Ni ujinga kudhani msigwa atashindwa kesi
Huwa najiuliza hawa watu hawawezi kuhama kimya kimya na wakatulia kama alivyo fanya marehemu mzee Lowasa ? Au uchanga wa siasa nalo ni tatizoMkubwa tunaweza kuona chanzo cha habari yako kama hautajali?
By the way ni jambo jema kumtaka alipe hiyo fidia ama akathibitishe madai yake
Maana Mchungaji Msigwa Kila Siku yeye na Mbowe, Mbowe na yeye
Utasema wana ugomvi wa kuibiana mali ama Wapenzi 🙌
Uko sahihiMsigwa alikuwa within the system, tena nadhani chadema inakusudia kujivua nguo kabisa, mtu aliyekuwepo ndani ya mfumo, ni kumuacha tu, atachoka mwenyewe,!
Hujajibu swali Muheshimiwa ChawaChawa ni wewe unayeishi kwa matumaini ya kutupiwa makombo toka meza kuu.
Panapo fuka moshi pameficha moto, na hapo hakuna nyasi, yaani hao wawili ndiyo watakao uzima moto kwa maana kwasasa wameuwasha. They have started, have to finishUko sahihi
Hatukuelewihana uwezo wa kulipa hiyo 5bln.