Pre GE2025 Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina

Pre GE2025 Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wizi ni jinai kama ipo pelekeni mahakamani siyo mnatumia maneno ya kimalaya malaya tu kuchafua watu, Chadema inakaguliwa na CAG na hakuna mwaka ilipata hati chafu. Huyo tumbili Msigwa ameyakanyaga.
Mara yako ya mwisho kusikiliza report ya CAG ni lini ndugu chawa?
 
RUBBISH RUBBISH RUBBISH
ACHA WAVUANE NGUO, TUYAJUE YA SIRINI.

""FEDHA ZA JOIN THE CHAINS " ZIPO WAPI?, CHAMA KUSHINDWA KUTOA UFAFANUZI NDIKO KUNATENGENEZA HAYA CHAMA HAKIPO WAZI, KABLA YA KUFUNGUA JALADA, WATUAMBIE FEDHA HIZI ZIPO WAPI? AWALI YA YOTE
 

Attachments

  • GPcbzUCaQAARSfH.jpeg
    GPcbzUCaQAARSfH.jpeg
    20.1 KB · Views: 1
Mkubwa tunaweza kuona chanzo cha habari yako kama hautajali?

By the way ni jambo jema kumtaka alipe hiyo fidia ama akathibitishe madai yake

Maana Mchungaji Msigwa Kila Siku yeye na Mbowe, Mbowe na yeye

Utasema wana ugomvi wa kuibiana mali ama Wapenzi 🙌
Huwa najiuliza hawa watu hawawezi kuhama kimya kimya na wakatulia kama alivyo fanya marehemu mzee Lowasa ? Au uchanga wa siasa nalo ni tatizo
 
Akiwa Chadema huyu Mchungaji Msigwa ndio alikuwa akiongoza mashambulizi ya Uzushi dhidi ya Hayati Lowassa na Mzee Kinana

Mchungaji Msigwa alijidanganya sana kudhani Mbowe ataukalia kimya uzushi na Uwongo wake

Katika hili ndipo CCM watakaa kando kabisa, hilo Nina uhakika nalo

Jumaa Mubarak 😀
 
Je, Tundu AM Lissu kama Mwanasheria nguli kwenye nchi hii kama tujuavyo.


Je, Lissu atakuwa tayari kuona rafiki yake kipenzi Cde Peter Msigwa akiozea jela?

Endapo Mbowe atashinda ni dhahiri Msigwa hana uwezo wa kulipa hiyo 5bln vinginevyo chama kimlipie.​
 
Back
Top Bottom