SI KWELI Freeman Mbowe asitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Niliwaambia kuwa ole wao watoe pua yao kuingiza barabarani wangekiona cha mtema kuni.
Ulitarajia ufurahi watu wakiumizwa sasa utaumizwa na Mpango wa Kamanda wa Anga Mbowe.

Tumewajua nyote nyoyo zenu na mwemyekiti wenu Easily provoked and exposed every evil around. Hii nayo ni intelijensia makini.
 
Huwezi kuleta mabadiliko bila kuumiaa mr Mbowe
Hii Case ungetuachia mkuu
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ametangaza kuahirisha maandamano yaliyopangwa kuanza tarehe 23/9/2024 mbele ya waandishi wa habari katika mkutano wa TDC ili kupisha mazungumzo yatakayofanyika baina ya viongozi wa dini na Rais Samia.
Clip ipo wapi ? Kabla sijaenda mbele zaidi
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ametangaza kuahirisha maandamano yaliyopangwa kuanza tarehe 23/9/2024 mbele ya waandishi wa habari katika mkutano wa TDC ili kupisha mazungumzo yatakayofanyika baina ya viongozi wa dini na Rais Samia.
Chezea dola wewe....🤣🤣

Mbowe acha kucheza na moto USIOUWEZA.....

#Nchi Kwanza😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…