SI KWELI Freeman Mbowe asitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Aisee.

Mimi sio shabiki wa mambo ya kisiasa ila Mbowe ni mtu mmoja mstaarabu sana na muungwana sana,ni msikivu na mvumilivu,

Big up sana kwake.
Kwake kwa lile tamko lao la awali lilisaidia kuamsha mpaka nyoka toka pangoni. So kwa upande wake na chama chao nadhani lengo limefanikiwa kupaaza suati na kuwatoa nyoka pangoni . Kelele na misimamo yao kuhusu jambo walilokuwa wanalipigia kele at least limesikika kwa sauti kubwa na kuenea kwamba kweli kuna tatizo ambalo linahitaji kuwa addressed kwa maslahi na mustakabali mzuri wa Taifa. Siyo kunyamaza na kufumbia macho as if every thing is normal. Kwa hatua hiyo at least lengo limefanikiwa ngoja atoe fursa kwa wahusika kulishughulikia pasipokuwa na kisingizio cha uvurugaji wa amani. Ache Vyombo husika sasa vielekeze nguvu na nyenzo zote kwenye kutafuta chanzo cha tatizo na kuwachukulia hatua wahusika wa huo mchezo mchafu ambao umelichafua Taifa letu mbele ya macho ya dunia. Na sauti za nje nazo zimefikisha ujumbe mzito na hakuna wa kupinga mchango wao .
 
Nchi unaiharibu mwenyewe samia.
Unawalea sana polisi wako.
Kulikuwa na umuhimu gani wa kumuua kibao?
Unaijua inteligensia vizuri? Hapo kuna kitu kipo nyuma ya pazia. Inawezekana ule ujumbe wa Samia una jambo flani hivi ...au code flani hivi Chadema siyo malaika wala Mbowe siyo malaika
 
Aisee.

Mimi sio shabiki wa mambo ya kisiasa ila Mbowe ni mtu mmoja mstaarabu sana na muungwana sana,ni msikivu na mvumilivu,

Big up sana kwake.

Mmmmhhhh hivi unajua tu kuchangia huku tayari wewe ni shabiki wa siasa, na ni kosa kubwa kutokuwa shabiki wa siasa, sbb siasa ndio kila kitu, maana ukiacha kushabikia na kutoa maoni yako kuhusu siasa utakuwa umekosea sana maana utaachia hata watu wapuuzi wakupangie maisha yako kwa kila kitu, ni haki yako kikatiba kusema unatakaje kiongozi wako wa kiasasa afanye au ni haki yako kugombea nafasi za kisiasa uende kuongoza watu ili uende kubadili mambo unaona sio sawa..!!

Ukiacha siasa, basi umeacha maisha yako upangiwe na watu, yaani umepoteza nafasi kubwa sana maishani mwako
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ametangaza kuahirisha maandamano yaliyopangwa kuanza tarehe 23/9/2024 mbele ya waandishi wa habari katika mkutano wa TDC ili kupisha mazungumzo yatakayofanyika baina ya viongozi wa dini na Rais Samia.
Madako yake
 
Mbowe unachekesha Sana!! Maandamano mliyofanya mwaka huu mbona hatukuona impact yeyote? Unatisha watu kwamba kuna maandamano mbona mlishaandamana sanaaa lakin ikawa kama mnafanya mazoezi ya mwili tu? Mkifanya maandamano au msifanye hakuna utofauti. Unasema democracy imeshuka Tanzania, je mbona ww hauna democracy ndani ya CDM?
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ametangaza kuahirisha maandamano yaliyopangwa kuanza tarehe 23/9/2024 mbele ya waandishi wa habari katika mkutano wa TDC ili kupisha mazungumzo yatakayofanyika baina ya viongozi wa dini na Rais Samia.
Kukaa kwake kimya sio bwege kauli nzito kabisa!
 
Tusiwabeze wamefanya kadiri ya uwezo hao. Na safari ya ukombozi ni endelevu. Walianzsiha akina Nyerere na akina Kawawa na hadi leo bado kazi inaendelea mpaka tukapopata Uhuru Kamili wa Taifa letu
Kama lipi walilofanya?
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ametangaza kuahirisha maandamano yaliyopangwa kuanza tarehe 23/9/2024 mbele ya waandishi wa habari katika mkutano wa TDC ili kupisha mazungumzo yatakayofanyika baina ya viongozi wa dini na Rais Samia.
Hahahaha Mbowe zero anamikwala sana alijua Samia anatania

USSR
 
Mmmmhhhh hivi unajua tu kuchangia huku tayari wewe ni shabiki wa siasa, na ni kosa kubwa kutokuwa shabiki wa siasa, sbb siasa ndio kila kitu, maana ukiacha ku
Mimi ninapoingia JF hua naingia Trending nikikuta uzi nikawa interested nao ndio nitachangia,

So, wala nilikua sijui kua huu uzi upo kwenye jukwaa gani,baada ya comment yako ndio nikaangalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…