SI KWELI Freeman Mbowe asitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
SawaMwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ametangaza kuahirisha maandamano yaliyopangwa kuanza tarehe 23/9/2024 mbele ya waandishi wa habari katika mkutano wa TDC ili kupisha mazungumzo yatakayofanyika baina ya viongozi wa dini na Rais Samia.
Aya mapimbi mlikua mnataka mkampiganie ugali Mbowe na familia yake mko wapi? Mwenzenu ameisha lambishwa asali kamuombeni sasa awagawie
 
Natamani iwe uongo hamu yangu ni kuona hiyo tarehe 23 kama kuna mtu ataingia barabarani
Thubutuuu were weee ndio maana kaitanguliza familia Qatar kula bata wiki ya pili sasa.....

Hatotoka mtu.....hata wawe na NAFSI ya MDUDE NYAGALI hutomuona mtu akitoka maandamanoni....🤣
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ametangaza kuahirisha maandamano yaliyopangwa kuanza tarehe 23/9/2024 mbele ya waandishi wa habari katika mkutano wa TDC ili kupisha mazungumzo yatakayofanyika baina ya viongozi wa dini na Rais Samia.

Tuletee video
 
Heee kaufyata ,KUDADADEKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…