Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

Mbowe is the best, anajua wakati gani atumie hekima hata kama wengi watamuona muoga, na wakati gani atumie nguvu, huyu chairman namuelewa sana.

Halafu utawasikia vichaa fulani wanasema Chadema waache uanaharakati, wakati wao ndio wanawafanya Chadema waonekane wanaharakati kwa kuwalazimisha Chadema kupigania haki zao kisheria.

Mkuu umeona ile nguo nyekundu. Fungu mmetoa wapi. Sisi huko njaa. Corona imetuulia ndugu yetu. Ukishatuma salio. Niambie. Tupambane na corona au tufanye makongamano.
 
Aisee, una umri gani ?

Kwahiyo wewe una cheo gani hapo Chaggadomo?
Kwa bahati mbaya sana, bangi ulizoanza kuvuta ungali kijana, na kuendelea nazo hadi sasa uzeeni zimekuharibu akili vibaya sana wewe.

Mzee mzima bado unatumia maneno kama "Chaggadomo"; hata huoni aibu!
 
Watu akina nani ?!!!

Usituingize sote....

Usiwaingize Watanzania wote kwa idadi yao kubwa.....

Watanzania wa hali ya chini ni wengi na ndio kipenzi kikubwa cha JPM.....

Sema ninyi CHADEMA.....

"Hao watu usemao ni ninyi...huko UFIPA"
Sihangaiki na kilaza kama wewe. Ninakufahamu usivyokuwa na kitu kichwani kwa michango yako mingi humu JF.
 
Kwa bahati mbaya sana, bangi ulizoanza kuvuta ungali kijana, na kuendelea nazo hadi sasa uzeeni zimekuharibu akili vibaya sana wewe.

Mzee mzima bado unatumia maneno kama "Chaggadomo"; hata huoni aibu!
🤣🤣🤣🤣
Mangi, Jiandae kuingia kwenue maandamano. Kengeza mwamba katangaza

images (1).jpeg
 
Sihangaiki na kilaza kama wewe. Ninakufahamu usivyokuwa na kitu kichwani kwa michango yako mingi humu JF.
🤣🤣
Mkuu Kalamu hakuna anayewapinga kwa hoja "baavichaa" na kaka zao akasalimika kutoitwa "kilaza"....

Endeleeni na siasa zenu za kulazimisha YASIYOFANIKIWA....🤣
 
🤣🤣🤣🤣
Mangi, Jiandae kuingia kwenue maandamano. Kengeza mwamba katangaza

View attachment 1861005
EeenHeee,

Mkaruka = Mzee.

Unawaaibisha wazee wenzako wote ndani ya chama.

Wengi wa wazee hao ndio walikuwa waumini makini wa siasa za kujikomboa na kuheshimu ubinaadam wa watu wote bila ya kujali tofauti zote za kijinsia, rangi na mengine.

Leo chama hicho cha ukombozi wazee wapuuzi kama wewe mmekifanya ndio kiwe adui mkubwa wa waTanzania?

Inasikitisha sana; lakini uzuri ni huo mmoja, kwamba siku zenu sasa zinahesabika. Hamna utashi tena juu ya waTanzania.

Iwe ni CHADEMA au chama kingine chochote, ni lazima sunami iwakumbe tu kama hamtajirudi katika muda huu mfupi uliobakia.

Sijui wewe mkara (mlegi) au mjita utaishia wapi na bangi zako hizi unazoonyesha humu.

Kuna wakati nilidhani una akili timamu, kumbe ni mtupu kichwani namna hii?
 
🤣🤣
Mkuu Kalamu hakuna anayewapinga kwa hoja "baavichaa" na kaka zao akasalimika kutoitwa "kilaza"....

Endeleeni na siasa zenu za kulazimisha YASIYOFANIKIWA....🤣
Usiniunganishe na siasa za hivyo vyama vyote vya siasa. Mimi siyo mlevi kama wewe.

Sasa hivi kilicho bora kwa Tanzania ni kuondoka kwa CCM bila kujali nani atahusika kuiondoa.

Ukiwa na akili, ndogo kichwani pamoja na kuwa kilaza, utanielewa nilichoandika hapa.
 
EeenHeee,

Mkaruka = Mzee.

Unawaaibisha wazee wenzako wote ndani ya chama.

Wengi wa wazee hao ndio walikuwa waumini makini wa siasa za kujikomboa na kuheshimu ubinaadam wa watu wote bila ya kujali tofauti zote za kijinsia, rangi na mengine.

Leo chama hicho cha ukombozi wazee wapuuzi kama wewe mmekifanya ndio kiwe adui mkubwa wa waTanzania?

Inasikitisha sana; lakini uzuri ni huo mmoja, kwamba siku zenu sasa zinahesabika. Hamna utashi tena juu ya waTanzania.

Iwe ni CHADEMA au chama kingine chochote, ni lazima sunami iwakumbe tu kama hamtajirudi katika muda huu mfupi uliobakia.

Sijui wewe mkara (mlegi) au mjita utaishia wapi na bangi zako hizi unazoonyesha humu.

Kuna wakati nilidhani una akili timamu, kumbe ni mtupu kichwani namna hii?
Mangi pinguza maneno kama uko kwenye vijiwe vya mbege. Mwamba ameshatangaza maandamano, hakuna kukubali.

Ingia barabarani maneno yasiwe mengi.
 
Mimi na 'umangi' utaanzia wapi!

Lakini si hoja, hata ningekuwa ni mangi, ningekupa ukweli wako kamili.
 
Usiniunganishe na siasa za hivyo vyama vyote vya siasa. Mimi siyo mlevi kama wewe.

Sasa hivi kilicho bora kwa Tanzania ni kuondoka kwa CCM bila kujali nani atahusika kuiondoa.

Ukiwa na akili, ndogo kichwani pamoja na kuwa kilaza, utanielewa nilichoandika hapa.
🤣🤣Utasubiri sana kuondoka kwa CCM....endelea kujiotesha ndoto....
 
Niingie barabarani kufanya nini, umesoma popote nilipoandika naingia barabarani?
Mwamba Mbowe ameshaamrisha mkapambanie katiba mpya.

Never and never again. Hamtakubali.

Sasa malalamiko ya mitandaoni yametosha
 
Okay, sina muda wa kuendelea na upuuzi wako hapa.

Lakini safari hii mtatapishwa tu, hakuna njia.
 
Back
Top Bottom