Elections 2015 Freeman Mbowe atoa msimamo mzito kuhusu wanaoasi mageuzi

Elections 2015 Freeman Mbowe atoa msimamo mzito kuhusu wanaoasi mageuzi

Ccm wajipange upya na waache siasa za kuiga cdm. Eaende na mipango yao ya watu team ya.ufundi 32, ambao wengi wao wameingia mitini.
 
Namuelewa sana mwenyekiti, ukiona CCM wanalalamika alichofanyiwa Slaa na wengine ujue dawa imewaingia Lumumba, tangu lini wakaitakia mema CDM... Ukiona CCM wanakuponda sana basi ujue ni tishio kwao..Mbowe anawachanganya kwa ukimya wake lakini mipango ni A...
 
Yaani Mbowe+Lissu+Mnyika+Msigwa+Lema+Mdee+Sugu+Wenje Ni Kombineshen bora kuwahi kutokea bungeni ambayo hauwezi ipata hata kwa wabunge wowote nane toka CCM.....
 
Back
Top Bottom