Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,922
- 5,620
Wake zetu tunawaombeni sana muwe na busara na hekima hasa waume zenu tunapofikia uzeen. Kiukweli, uzeeni wanaume tunachoka zaidi kuliko wanawake.
Mke mwenye busara na hekima hawezi kutumia mwanya huo kwa maslahi yake binafsi, hasa kama mumewe ni kiongozi wa jumuia, chama, au kiongoz wa kitaifa. Igeni mfano mwema wa Maria Nyerere.