Elections 2015 Freeman Mbowe atoa msimamo mzito kuhusu wanaoasi mageuzi

Elections 2015 Freeman Mbowe atoa msimamo mzito kuhusu wanaoasi mageuzi

Treni ya mbowe itafika Kigoma na abiria wachache sana kama mwendo wake ndio huu..
 
Wakati huo huo, Mbowe alisema kutokana na muda mfupi wa kampeni uliopangwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), mgombea wao wa urais na mgombea mwenza wake, Duni Haji, hawataweza kufika majimbo yote nchini.
Kwekwekwekwe... inaonekana limagufuli na maCCM yenyewe yatakuwa yanasimamisha kalenda
 
Hotuba ya mbowe ni nzuri,chadema/ukawa ijikite kueneza sera ya mabadiliko sera ya matumaini mapya kwa wananchi nini itafanya ikipata madaraka,mwananchi wa kawaida hataki kusikia malumbano ya kisiasa au kesi za kisiasa ,dr slaa na mamluki wengine lengo lao ni kuwatoa ukawa katika reli ili wabaki kubishana nao wakati muda unaenda ukiisha wa kampeni wasitoe meseji za kutosha kuwafikia wananchi wote.
majibu ya mbatia na lissu kuhusu dr slaa yanatosha
 
Kazi yetu saisi wakatihuu soi kufanya longolongo kama slaa hatuna mdahuo .
 
Mbowe alihutubia mkutano mkuu Wa chama akawaambia kua Dr. Slaa yupo mapumzikoni ataungana nao mbele ya safari sasa kaumbuka. Viongozi waongo ni hatari Sana kwa Taifa by Dr. Slaa
 
Mbowe alihutubia mkutano mkuu Wa chama akawaambia kua Dr. Slaa yupo mapumzikoni ataungana nao mbele ya safari sasa kaumbuka. Viongozi waongo ni hatari Sana kwa Taifa by Dr. Slaa

Mbowe kauza chama.

Nasikia Mnyika yuko hatihati.
 
Na haya maandamano kweli hayashinikizwi jamani?na watu amabao hawataki mabadiliko nan anajua atujuze?
 
Well said mheshimiwa Chairman, lakini naomba unithibitishie kweli Chadema ni chama cha wananchi, nashtuka kusikia hii

statement, manake kama kweli Chadema ni chama chetu sote kwanini wakati mnafanya maamuzi yenu ya kimafia

hamkutaka hata japo kutujuza. Mkaamua kuua UKAWA halisi ambayo ilikuwa na maono na malengo halisi ya kuliokoa taifa

hili.

Mr. Chairman kwanini hiki chama mmewapa watu wengine ambao hata misingi na malengo ya chama hawayajui.

Mr. Chairman kwa jinsi nijuavyo Chadema kilikuwa mtari wa mbele kupinga ufisadi na kulikuwa na makamanda wakina Dr.

Slaa, ZZK, John Mnyika na wengine, lakini kwa nini sasa hivi hatusikii hata japo mkigusia tu ufisadi? na hata kuukemea.

Kwa jinsi mambo yanavyokwenda sasa ni wazi kabisa Chadema kimekuwa ni chama cha watu wachache, waliopumbaza

watanzania wengi kwa kauli mbiu ya mabadiliko. Watanzania wengi hasa vijana wanaonekana wazi kabisa kushindwa

kujitambua na kufuata tu makundi bila hata ya kupambanua mambo. Ni wazi ualisia wa Chadema umezidi kupotea.

#BRINGBACKOURCHADEMA
 
Mbowe amesema chama siyo mali ya mtu ni mali ya wanachama kwa hiyo ajitayarishe kuondoka kwani hajawaambia viongozi wenzake ukweli kuhusu mchakato wa kumpokea fisadi lowasa. Viongozi mwongo hafai!

Huwezi kumuelewa Kamanda Mbowe kwani upo Upande wa CCM.
Nadhani unachikia kuona UKAWA haiteteleki na haitateteleka.
Msiba wa kwetu mnajifanya nyie ndo Mnamachungu saana kama sio unafiki.
 
Mbowe alihutubia mkutano mkuu Wa chama akawaambia kua Dr. Slaa yupo mapumzikoni ataungana nao mbele ya safari sasa kaumbuka. Viongozi waongo ni hatari Sana kwa Taifa by Dr. Slaa

Kama angelikuwa ameacha, kwa nini kapokea mshahara wa ukatibu mkuu mwezi wa nane uliopita? Tumia akili.

Kama alikuwa ameach akama alivyowahadaa, kwa nini aliendelea kuishi kwenye nyumba ya chama, akitumia gari la chama na kutumia ulinzi wa chama?

Wanaoachaga kazi ndivyo inakuwaga hivyo?

Au ndiyo unadhihirisha upeo mliojengewa na Big Results Now ya shule za kata?

Sifuri kweli kweli!.
 
Back
Top Bottom