Namuelewa sana mwenyekiti, ukiona CCM wanalalamika alichofanyiwa Slaa na wengine ujue dawa imewaingia Lumumba, tangu lini wakaitakia mema CDM... Ukiona CCM wanakuponda sana basi ujue ni tishio kwao..Mbowe anawachanganya kwa ukimya wake lakini mipango ni A...
Yaani Mbowe+Lissu+Mnyika+Msigwa+Lema+Mdee+Sugu+Wenje Ni Kombineshen bora kuwahi kutokea bungeni ambayo hauwezi ipata hata kwa wabunge wowote nane toka CCM.....