Freeman Mbowe awatakia Waislam wote Heri ya Sikukuu ya Eid el Fitri

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba kabisa , Freeman Mbowe , ambaye huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za heri ya Eid El Fitri kwa Waislam wote Nchini na kote Duniani .

Hii hapa ndio Taarifa yake

 
Wale wenyewe upwiruu wa MWez mtukufu kesho n mwendo tu wa !!!!

Malizia Kwenye picha hapo..
 
Asambaze nyama ya nguruwe kwa wenye mahitaji
 
hapo ambapo anasema ati,

"ninawaombea siku hii iwe imejaa, furaha na baraka kwenu na kwa wapendwa wenu" πŸ€“

nina mashaka huyu muungwana hawezi fanya hayo maombi, that one the man can't do it....

hiyo ya kuwatakia yaliyo mema, it's okay nakubali. ila hiyo ya eti kuwaombea 🀣

πŸ’
 
Waachie Waislam waamue wenyewe , hiyo ccm inayokupa posho siyo dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…