mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mapema sanaaa.Kwani na huku tanganyika bakwata wameshatangaza kuwa kesho ni eid?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapema sanaaa.Kwani na huku tanganyika bakwata wameshatangaza kuwa kesho ni eid?
AUstaadh Abubakar
Anazengea mualiko ikulu haitwi mtu!Mwenyekiti wa Chadema Mwamba kabisa , Freeman Mbowe , ambaye huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za heri ya Eid El Fitri kwa Waislam wote Nchini na kote Duniani .
Hii hapa ndio Taarifa yake
View attachment 2959027View attachment 2959028
asipotoshe wala kuhadaa watu wa watu, kwamba anao muda wa kuwaombea 🐒Waachie Waislam waamue wenyewe , hiyo ccm inayokupa posho siyo dini
ameoina sana tu, na amechafukwa kweli aise 🐒Hata samia pia amewatakia kheri ya Eid, vp bwana Erythrocyte hujaona post yake.?
Ameona nini ?ameoina sana tu, na amechafukwa kweli aise 🐒
Eid 🐒Ameona nini ?