Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Utapataje baraka wakati wewe ni dhulumati na tapeli mkubwa ? Nani anayetoa baraka kwa mtu anayedhulumu watu kama afanyavyo mbowe na familia yake? Asivyo na haya wala aibu anajifanya anavaa na kanzu wakati moyo wake umevaa uzulumaji na unyonyaji kwa jasho la watu.Uzi wa Ramadhan unaleta kilio cha njaa , huu ni uzi wa dua na baraka
Huna hoja weweUtapataje baraka wakati wewe ni dhulumati na tapeli mkubwa ? Nani anayetoa baraka kwa mtu anayedhulumu watu kama afanyavyo mbowe na familia yake? Asivyo na haya wala aibu anajifanya anavaa na kanzu wakati moyo wake umevaa uzulumaji na unyonyaji kwa jasho la watu.
Mkono wa Mungu wa hasira utakuwa juu yake. Dhuluma ni kama giza tu haliwezi kushindana na nuru. Dhuluma ambayo Mbowe na familia yake wamezoea kuwatendwa watu wanaofanya kazi kwake basi sasa ni mwisho . tutaendelea kupaza sauti juu ya udhulumaji wa Mbowe na familia yake anaowafanyia watu.nitapaza sauti bila kuchoka mpaka kila mtu ndani na nje ya nchi atambue kuwa familia ya Mbowe ni nukusi linapokuja suala la pesa. amekula Ruzuku za chama ameona hazitoshi,amekula michango ya join the chain ameona tumbo lake halitosheki ,amekula pesa za akina sabodo ameona hajashiba mpaka ale na kumeza za waandishi hawa wanyonge waliokuwa wanawahi kila siku asubuhi kumfanyia yeye kazi ,halafu mwisho wa siku anawadhulumu bila aibu wala haya.Huna hoja wewe
Mkuu usiniharibie funga yanguMkono wa Mungu wa hasira utakuwa juu yake. Dhuluma ni kama giza tu haliwezi kushindana na nuru. Dhuluma ambayo Mbowe na familia yake wamezoea kuwatendwa watu wanaofanya kazi kwake basi sasa ni mwisho . tutaendelea kupaza sauti juu ya udhulumaji wa Mbowe na familia yake anaowafanyia watu.nitapaza sauti bila kuchoka mpaka kila mtu ndani na nje ya nchi atambue kuwa familia ya Mbowe ni nukusi linapokuja suala la pesa. amekula Ruzuku za chama ameona hazitoshi,amekula michango ya join the chain ameona tumbo lake halitosheki ,amekula pesa za akina sabodo ameona hajashiba mpaka ale na kumeza za waandishi hawa wanyonge waliokuwa wanawahi kila siku asubuhi kumfanyia yeye kazi ,halafu mwisho wa siku anawadhulumu bila aibu wala haya.
Wavaa pekosi hawana sukari sijui itakuwajeMwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amejitokeza hadharani kuwatakia Waislam wote Baraka tele za mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Ujumbe wake Muruwa huu hapa
View attachment 2932901View attachment 2932902
Unafunga nini na wewe ulipo hapo? Mungu HADHIHAKIWI hata siku moja. Usijidanganye ukafikiri Mungu naye ni mjinga na mbumbumbu na zuzu kama ulivyo wewe. Lipeni pesa za waaandishi wa habari mliowatumikisha na wakawatumia kwa moyo wote.sasa kwanini mzulumu jasho la watu? Kwanini hamtaki kuwalipa? Si mnasema Mbowe ni billionea? Kwanini usiwape watu haki zao? Shida nini? Unapungukiwa nini akiwapa watu kulingana na jasho lake? Kwani wao hawana familia? Hawana watoto kama alivyo mbowe? Sasa kwanini hamna huruma ninyi? Kwanini mnakuwa mazulumati kiasi hicho? Tofauti yenu na matapeli wa mitaani ni nini?Mkuu usiniharibie funga yangu
Safi sana hii, ila hata samia nae aliwatakia kheri wananchi, vp uliiona post yake.?Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amejitokeza hadharani kuwatakia Waislam wote Baraka tele za mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Ujumbe wake Muruwa huu hapa
View attachment 2932901View attachment 2932902
Mwamba hana noma
Mwamba hana noma
Ameenda kula futari ofisi namba 1?Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amejitokeza hadharani kuwatakia Waislam wote Baraka tele za mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Ujumbe wake Muruwa huu hapa
View attachment 2932901View attachment 2932902
Alialikwa kula futari magogoni?Ndio nimejikita huko kuwa Mbowe na familia yake waache udhulumaji na unyonyaji.hivi kweli Mbowe na familia yake wanashindwa kuwa na huruma kwa watu waliokuwa wanaacha familia zao na kuwahi kufanya kazi kwa Mbowe? Kama anashindwa kuwatendea haki watu kumi tu ni vipi anajinasibu kuwatetea watanzania mamilioni kwa mamilioni? Kama siyo unafiki ni nini? Kama siyo utapeli wa kisiasa na maneno ni nini?
Mwenyekiti mzima anawadhulumu watu waliotoa jasho lao? Mwenyekiti mzima anayesema anapigania haki anashindwa kuguswa na maisha ya watu kumi tu? Huu ni uhuni usiokubalika hata kidogo kwa jamii iliyostaarabika. Hili tu lilikuwa linatosha kumfanya ajiuzulu hata huo uenyekiti wake anaoutumia kukinyonya chama kama kupe. Mbowe na familia yake ni wanafiki sana .asivyo na aibu wala haya anajifanya eti anawatetea Watanzania? Watanzania wapi hao anaowatetea wakati nyuma ya pazia anapora haki zao? Mnafiki mkubwa
Ila Mukya ni kisu hatari. Hata kama ni mimi angekuwa tu nyumba ndogo. Kwa hilo nampongeza MboweMukya bi mdogo aliyezaa naye Mbowe sijui kama muislamu kama muislamu nimtakie Ramadhani kareeem
HakualikwaAmeenda kula futari ofisi namba 1?
Mbowe huyu huyu ambaye March ulimuita tapeli leo ndio mwamba.Utapataje baraka wakati wewe ni dhulumati na tapeli mkubwa ? Nani anayetoa baraka kwa mtu anayedhulumu watu kama afanyavyo mbowe na familia yake? Asivyo na haya wala aibu anajifanya anavaa na kanzu wakati moyo wake umevaa uzulumaji na unyonyaji kwa jasho la watu.