Akihamia Sumaye na Elia wakigoma ndio "wanahamia wanachadema" CCM? Kafie mbele!hizo data ni za uongo. kila siku wana CHADEMA wanahamia CCM halafu huyu dj anasema chama kimeimarika? utapeli huu
Hukuona kuwa pamoja na kufanyika ilikuwa kwa ngarambe?Huh?
Hawa si huwa wanasema wamekatazwa hata kufanya mikutano ya ndani ya chama chao..??
Hapo inakuwaje leo??
Wanaelewa basi? Wao kazi yao ni kumshangilia tu mboweHuh?
Hawa si huwa wanasema wamekatazwa hata kufanya mikutano ya ndani ya chama chao..??
Hapo inakuwaje leo??
Haikosi wewe ni mmoja wa vijana wa uvccm 'mnaoharibiwa' na wazee wa chama kama Shaka HamduniNi kiongozi wetu lazima tujue
Sii ungeenda nawe kuchukuwa fomu? Nani kakuzuia we Dada?Chadema haipo serious eti halima mdee kagombea nafasi ya uenyekiti peke yake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna aliyekunyima kuchukua fomu?Chadema haipo serious eti halima mdee kagombea nafasi ya uenyekiti peke yake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kitu sisi ndiyo tuko field tunajua tumefanya nini, ninyi mkitumia mabilioni yetu toka hazina kununua wapinzani uchwara sisi tumefanya kazi kubwa kimya kimya. Kwa taarifa yako na vilaza wenzako mnaoshinda mitandaoni kupika majungu,hicho kitengo chenu kinacholinda maslahi ya CCM kilijua kazi tuliyoifanya katika Chadema msingi na ndiyo ukabuniwa mpango mkakati wa kuhujumu uchaguzi wa serikali za mitaa kwani kile ambacho kingetokea msingeamini na vi pacemaker vyenu vinge crush.hizo data ni za uongo. kila siku wana CHADEMA wanahamia CCM halafu huyu dj anasema chama kimeimarika? utapeli huu
Nina wasiwasi na hiyo 6M ya wanachama. Otherwise tuone hiyo data base
Sent using Jamii Forums mobile app
Tueleze kwanza huyo mume wa mtu unayelala naye mkewe anazo taarifa?Yakwenye keybord umeshayajua yako?
Uonyeshwe wewe kama nani?Nina wasiwasi na hiyo 6M ya wanachama. Otherwise tuone hiyo data base
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwahusu vibaka wa LumumbaChadema haipo serious eti halima mdee kagombea nafasi ya uenyekiti peke yake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huh?
Hawa si huwa wanasema wamekatazwa hata kufanya mikutano ya ndani ya chama chao..??
Hapo inakuwaje leo??
Na hapo kawadanganya maksudi ili msiehuke, is twice as much, niamini Mimi najua na Nina uhakika ninachokisema, kama ametaja 6m multiply by Two! Ndio idadi ya wana chama wa CHADEMA, fuatilia posti zangu nimeshawahi kuandika kuwa ni milioni 12, wakijihujumu kwa kuweka nusu idadi, lengo ni kuamsha hasira!hizo data ni za uongo. kila siku wana CHADEMA wanahamia CCM halafu huyu dj anasema chama kimeimarika? utapeli huu
hizo data ni za uongo. kila siku wana CHADEMA wanahamia CCM halafu huyu dj anasema chama kimeimarika? utapeli huu
Hao ni wale hai wenye kadi ambao tunawahesabu kama wanachama.Wapo mashabiki wasio na kadi kama milioni 4Tena amechemsha kusema ni 6m, angesema 10m+. Sasa hivi kutaja idadi halisi ni kujipotezea mwenyewe. Unakumbuka tuliambiwa waliojiandikisha kupiga kura uchaguzi wa SM Ni 19m+ huku hatukuona misururu ya wapiga kura vituoni wakijiandakisha?