Hao ni wale hai wenye kadi ambao tunawahesabu kama wanachama.Wapo mashabiki wasio na kadi kama milioni 4
Kwa hiyo kadi ya Chama Kama ziliuzwa elfu moja kwa wanachama milioni 6 Ni sawa na shilingi bilion sita.
Mbowe atoe ripoti ya hizo bilioni sita za kadi pesa zake matumizi yake
Mimi mlipa Kodi ambaye ruzuku yangu ndio chadema mnailaAkupe ripoti ww kama nani? Tunataka atumie kufanyia chochote anachoona kinafaa, kama na ww umechanga sema ni kiasi gani urudishwe, kama uko mbali utatumiwa kwa mpesa na hela ya kutolea juu ili isipungue.
Blah BlahHalima Mdee na Mbowe wanatafuna sana ruzuku ya chama, Halima alijua hatapita wagombea wengine wakapigwa mizengwe wasigombee
Unahangaika mpaka unatia kinyaaMimi mlipa Kodi ambaye ruzuku yangu ndio chadema mnaila
Maneno ya Mbowe Ni porojo tu za kampeni .Website tu ya chadema haipo.Mnakaa kusikiliza porojo za digital digital mwongo mkubwa website tu ya chama imemshinda na miruzuku yote anayopata anakula bila kunawa.Website Ni Bei ndogo tu lakini imemshinda
Mimi mlipa Kodi ambaye ruzuku yangu ndio chadema mnaila
Maneno ya Mbowe Ni porojo tu za kampeni .Website tu ya chadema haipo.Mnakaa kusikiliza porojo za digital digital mwongo mkubwa website tu ya chama imemshinda na miruzuku yote anayopata anakula bila kunawa.Website Ni Bei ndogo tu lakini imemshinda
Hizi picha zinabariki sana
Msamehe kidogo hajui asemachoIngia website za wizara mbalimbali kisha uje utoe mrejesho hapa. Toa kwanza boriti ... Kila siku mnasema wananchi wakawaida hawaingii mitandaoni, sasa nguvu isipowekwa kwenye website kuna shida gani? Mngeaanza kuliambia lile kundi lenu la watu wasiojulikana cdm haijafa, lirudi tena kazini kuteka wasiomsujudia mungu wa Tanzania.
Sijakuelewa...
Ubarikiwe sana mkuuYap, hii naunga mkono hoja kwa asilimia mia moja. Kama mtu anatumia madaraka yake akidhani tutarudi utumwani Misri kwenye mfumo wa chama kimoja, basi huyo amechemsha.
Akutolee wewe?Kwa hiyo kadi ya Chama Kama ziliuzwa elfu moja kwa wanachama milioni 6 Ni sawa na shilingi bilion sita.
Mbowe atoe ripoti ya hizo bilioni sita za kadi pesa zake matumizi yake
hizo data ni za uongo. kila siku wana CHADEMA wanahamia CCM halafu huyu dj anasema chama kimeimarika? utapeli huu
Nyani bana.Huh?
Hawa si huwa wanasema wamekatazwa hata kufanya mikutano ya ndani ya chama chao..??
Hapo inakuwaje leo??
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amesema baada ya kuzuiliwa mikutano ya hadhara kwa hila chama hicho kimeimarika maradufu.
View attachment 1289779
Akihutubia mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema katija ukumbi wa Mlimani City kiongozi huyo amesema chama hicho kiliamua kufanya siasa mpya za kuzunguka kata zote nchini kuandikusha wanachama na kufanya mikakati ya ndani.
Mbowe amesema chama hicho hakitamani tena siasa za mikutano ya hadhara kwani wamegundua mikutano ya ndani ndiyo njia muhimu zaidi ya kujijenga kwani kuna uhalisia na unaweza kupima matokeo
Katika hatua nyingine Mbowe ametangaza rasmi idadi ya wanachama wa Chadema wenye kadi na kusema imefikia milioni 6.
Mbowe amesema chama kina database ya wanachama wote milioni 6 kwamba wapo wapi na jinsia yao ikiwemo idadi ya vijana,wazee,watoto,wanawake na wanaume.
Muda wote Mbowe alikuwa anashangiliwa kwa shangwe na mayowe na wanawake hao Bawacha kiasi kwamba wakati mwingine hotuba yake ilikuwa haisikiki vyema kwa kushangiliwa.
Kiongozi huyo wa Chadema amesema pia chama hicho siku ya mkutano mkuu tarehe 18 Dec kitazindua rasmi program ya chama ijulikanayo kama CHADEMA DIGITAL.Katika program hiyo wanachama watatumia simu zao kupata taarifa zote za chama na pia kulipia ada za uanachama.Pia Mbowe amesema ataliomba Baraza Kuu kuidhinisha ada ya uanachama kuwa shilingi elfu 2 badala ya elfu 1 kwa mwaka.