Freeman Mbowe azindua siasa mpya za CHADEMA huku akitangaza idadi rasmi ya wanachama

Kwa hiyo kadi ya Chama Kama ziliuzwa elfu moja kwa wanachama milioni 6 Ni sawa na shilingi bilion sita.

Mbowe atoe ripoti ya hizo bilioni sita za kadi pesa zake matumizi yake
 
Hao ni wale hai wenye kadi ambao tunawahesabu kama wanachama.Wapo mashabiki wasio na kadi kama milioni 4

Yap, hii naunga mkono hoja kwa asilimia mia moja. Kama mtu anatumia madaraka yake akidhani tutarudi utumwani Misri kwenye mfumo wa chama kimoja, basi huyo amechemsha.
 
Kwa hiyo kadi ya Chama Kama ziliuzwa elfu moja kwa wanachama milioni 6 Ni sawa na shilingi bilion sita.

Mbowe atoe ripoti ya hizo bilioni sita za kadi pesa zake matumizi yake

Akupe ripoti ww kama nani? Tunataka atumie kufanyia chochote anachoona kinafaa, kama na ww umechanga sema ni kiasi gani urudishwe, kama uko mbali utatumiwa kwa mpesa na hela ya kutolea juu ili isipungue.
 
Na kampeni na uchaguzi utafanyika ndani kwa ndani. Afu Lissu mbona siku hizi kawa mdogo kaa pilton?
 
Akupe ripoti ww kama nani? Tunataka atumie kufanyia chochote anachoona kinafaa, kama na ww umechanga sema ni kiasi gani urudishwe, kama uko mbali utatumiwa kwa mpesa na hela ya kutolea juu ili isipungue.
Mimi mlipa Kodi ambaye ruzuku yangu ndio chadema mnaila

Maneno ya Mbowe Ni porojo tu za kampeni .Website tu ya chadema haipo.Mnakaa kusikiliza porojo za digital digital mwongo mkubwa website tu ya chama imemshinda na miruzuku yote anayopata anakula bila kunawa.Website Ni Bei ndogo tu lakini imemshinda
 
Unahangaika mpaka unatia kinyaa
 

Ingia website za wizara mbalimbali kisha uje utoe mrejesho hapa. Toa kwanza boriti ... Kila siku mnasema wananchi wakawaida hawaingii mitandaoni, sasa nguvu isipowekwa kwenye website kuna shida gani? Mngeaanza kuliambia lile kundi lenu la watu wasiojulikana cdm haijafa, lirudi tena kazini kuteka wasiomsujudia mungu wa Tanzania.
 
Msamehe kidogo hajui asemacho
 
Yap, hii naunga mkono hoja kwa asilimia mia moja. Kama mtu anatumia madaraka yake akidhani tutarudi utumwani Misri kwenye mfumo wa chama kimoja, basi huyo amechemsha.
Ubarikiwe sana mkuu
 
Kwa hiyo kadi ya Chama Kama ziliuzwa elfu moja kwa wanachama milioni 6 Ni sawa na shilingi bilion sita.

Mbowe atoe ripoti ya hizo bilioni sita za kadi pesa zake matumizi yake
Akutolee wewe?
 
Kama asemayo Mbowe ni kweli, pongezi wanastahili kupewa

Juhudi zaidi iongezwe huku kwenye Kata na Vijijini.

Huko ndiko kunakotakiwa pawe na mwamko mkubwa kuhusu chama.
 
Aache UFASHISTI
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…