Freeman Mbowe azindua ujenzi wa Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Segerea

Huyu Mzee Awaachie Vijana Uenyekiti.... Kang'ang'ania Atafia hapo kitini
 
Issue Sio Uzee...Issue ni Fikra Mpya....Mtu Kang'ang'ania Kiti toka enzi hizo.
Kipindi Cha Mkapa......Ye Yupo..!
Kipindi Cha Kikwete...Ye Yupo..!
Kipindi Cha Magu.......Ye Yupo..!
Kipindi Cha Samia......Ye Yupo..!
Duh Huko CDM Hakuna Mbadala.. ?
 
Kavaa barakoa peke yake kwenye almost kwenye Kila picha.

Hiyo ina maanisha kwamba raia wanaamini hiyo kitu hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…